Wanaume tuliooa tuepuke sana kazi za kusafiri safiri muda mrefu

Walohamia dodoma hehehe kama nawaona [emoji3]🤣🤣[emoji5]
 
Hizi thread nyingine zinatufanya wengine tushindwe hata kufanya kazi,ngoja tu nisiwe nazisoma maana huku ni kukatishana tamaa,yaani unajitahidi kurudi kila week end lakini bado tu...!
 
Kwahiyo weww kazi yako ni kufuatilia maisha ya watu... Yani hadi umechunguza ndoa 15..!? Kunamina..!!
 
Na ndio maana hutakiwi kuoa mpaka career yako iwe imestabilize na una uhakika wa permanent residence.
 
Mm najingongea mke wa mtu aliyehamishiwa Dodoma halafu mumewe kabakia Dar (bosi fulani). Mimi huwa najimilikisha mke huyu kama wa kwangu.

Na wiki juzi tulisafiri naye kwenda mkoa fulani alikoenda kwa ajili ya semina.
Siku ya kufumuliwa marinda uje na uzi wa namna hii kwamba mwenye mke kajimilikisha kiboga kama chake vile 🤣🤣🤣!!!

Ila kuna wenzetu wameingia hasara sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…