Wanaume tuliooa tujipeni pole wenyewe

dah! Hapa kunakenge kanipanga nikamle kesho nimemkatalia baada ya kuwaza na mm nikifanyiwa ivyo itakuwaje..

Mungu anisaidie tu nisije kula mke wa mtu acha tu nile kwa macho.
 
ndio mkuu bt hata nyie mkiolewa jitaidini kuwa na misimamo mikali.
Wapo wenye misimamo sana tu..unajua kwenda nje ni tabia ya mtu. Ila kama mtu hii tabia hana hata ashawishiwe vipi hawezi kwenda nje sanasana atakuja kukueleza anaemsumbua nani. We chunguza utaona.
 
mkuu wamitaani tuwale tu bt wake za watu tuwaheshimu sana coz hakuna anaependa kuchapiwa mkewe.
Ila ngoja nikuulize, kwan nyie wanaume kitu gani kinafanya mchukue wanawake wa nje? Ni sura au kitu gani?
 
basi jitaidini sana kuwa na misimamo mikali muwapo kwenye ndoa, maana wanaume pamoja na madhaifu yao huchakalika kutafuta riziki ajil yenu sasa mkiliwa nje tunaumia mara mbili.
Nanyi mtulize viboro dunda vyenu..hakuna mwanamke anaetoka bila sababu.
 
Nanyi mtulize viboro dunda vyenu..hakuna mwanamke anaetoka bila sababu.
Tena wakiona mwanamke anakusaliti asilimia kubwa ujue wao ndo chanzo cha sisi kufanya hivyo....
 
Ila ngoja nikuulize, kwan nyie wanaume kitu gani kinafanya mchukue wanawake wa nje? Ni sura au kitu gani?
mwanaume hua hatosheki na ke mmoja ndo maana tunatoka bt nyie mmeumbwa ajil ya waume zenu hivo mjitulize.
 
Nanyi mtulize viboro dunda vyenu..hakuna mwanamke anaetoka bila sababu.
mkuu hata ukisoma maandiko hakuna andiko lililomruhusu mwanamke kuwa na me zaid ya mmoja bt wanaume walioa hadi wake 700 na michepuko 300 hivo kuna tofauti kubwa sana baina yetu.
 
mkuu hata ukisoma maandiko hakuna andiko lililomruhusu mwanamke kuwa na me zaid ya mmoja bt wanaume walioa hadi wake 700 na michepuko 300 hivo kuna tofauti kubwa sana baina yetu.
Hayo ni maandiko ndugu ...
 
mkuu hata ukisoma maandiko hakuna andiko lililomruhusu mwanamke kuwa na me zaid ya mmoja bt wanaume walioa hadi wake 700 na michepuko 300 hivo kuna tofauti kubwa sana baina yetu.
Mi nahs ni tamaa. Kwa sababu kama mke unae. Kila mda ukimhitaji yupo tena hata hakatai.Na wengi wenu nyie mkienda mara tatu au nne tu chaliii. Kinachokupeleka nje nini kama sio umalaya na kutafuta magonjwa. Yaan mkeo angejua uliyo nayo kichwani wewe!
 
mkuu hata ukisoma maandiko hakuna andiko lililomruhusu mwanamke kuwa na me zaid ya mmoja bt wanaume walioa hadi wake 700 na michepuko 300 hivo kuna tofauti kubwa sana baina yetu.
Sawa endeleeni Kufanya mnayofanya.
 
mwanamke ukimcheat akajua ataumia bt sio kama maumiv apatayo mwanaume, kwanza unabaki unaza kanidharau au simridhishi, hakika wanaume huteswa sana na hali hii

Jaribu kuwa mwanamke siku moja utajua na wao wanavyoumia. Au kwa vile hua wanasamehe na kupotezea na wakati mwingine wananyamaza tunaona kama haiwaumi sana?

Na wao wanajiuliza, uzuri umepungua? Mvuto umepotea? Hakuridhishi? Amezeeka? N.k

Kwa ufupi, maumivu hayachagui jinsia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…