- Thread starter
- #21
ndio mkuu bt hata nyie mkiolewa jitaidini kuwa na misimamo mikali.Bora umefanya maamuzi mema. Halafu ni majaribu maana baada ya tendo hilo unaanza kujuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio mkuu bt hata nyie mkiolewa jitaidini kuwa na misimamo mikali.Bora umefanya maamuzi mema. Halafu ni majaribu maana baada ya tendo hilo unaanza kujuta.
Wapo wenye misimamo sana tu..unajua kwenda nje ni tabia ya mtu. Ila kama mtu hii tabia hana hata ashawishiwe vipi hawezi kwenda nje sanasana atakuja kukueleza anaemsumbua nani. We chunguza utaona.ndio mkuu bt hata nyie mkiolewa jitaidini kuwa na misimamo mikali.
Ila ngoja nikuulize, kwan nyie wanaume kitu gani kinafanya mchukue wanawake wa nje? Ni sura au kitu gani?mkuu wamitaani tuwale tu bt wake za watu tuwaheshimu sana coz hakuna anaependa kuchapiwa mkewe.
Nanyi mtulize viboro dunda vyenu..hakuna mwanamke anaetoka bila sababu.basi jitaidini sana kuwa na misimamo mikali muwapo kwenye ndoa, maana wanaume pamoja na madhaifu yao huchakalika kutafuta riziki ajil yenu sasa mkiliwa nje tunaumia mara mbili.
Tena wakiona mwanamke anakusaliti asilimia kubwa ujue wao ndo chanzo cha sisi kufanya hivyo....Nanyi mtulize viboro dunda vyenu..hakuna mwanamke anaetoka bila sababu.
Kwa binadamu mchungu..wafanye wao wakifanyiwa lawama.
mwanaume hua hatosheki na ke mmoja ndo maana tunatoka bt nyie mmeumbwa ajil ya waume zenu hivo mjitulize.Ila ngoja nikuulize, kwan nyie wanaume kitu gani kinafanya mchukue wanawake wa nje? Ni sura au kitu gani?
Ni hatar sana duh.mwanaume hua hatosheki na ke mmoja ndo maana tunatoka bt nyie mmeumbwa ajil ya waume zenu hivo mjitulize.
Ukweli mtupu..hakuna mwanamke anaependa atoke nje..Tena wakiona mwanamke anakusaliti asilimia kubwa ujue wao ndo chanzo cha sisi kufanya hivyo....
mkuu hata ukisoma maandiko hakuna andiko lililomruhusu mwanamke kuwa na me zaid ya mmoja bt wanaume walioa hadi wake 700 na michepuko 300 hivo kuna tofauti kubwa sana baina yetu.Nanyi mtulize viboro dunda vyenu..hakuna mwanamke anaetoka bila sababu.
kuthibitisha hilo angalia hata maandiko yanasema kuna mitume walioa wake wengi bt hakuna mwanamke alieruhusiwa kua na me wengi.Ni hatar sana duh.
Hayo ni maandiko ndugu ...mkuu hata ukisoma maandiko hakuna andiko lililomruhusu mwanamke kuwa na me zaid ya mmoja bt wanaume walioa hadi wake 700 na michepuko 300 hivo kuna tofauti kubwa sana baina yetu.
Usiishi kwa maandiko ila ishi kwa uhalisiakuthibitisha hilo angalia hata maandiko yanasema kuna mitume walioa wake wengi bt hakuna mwanamke alieruhusiwa kua na me wengi.
Mi nahs ni tamaa. Kwa sababu kama mke unae. Kila mda ukimhitaji yupo tena hata hakatai.Na wengi wenu nyie mkienda mara tatu au nne tu chaliii. Kinachokupeleka nje nini kama sio umalaya na kutafuta magonjwa. Yaan mkeo angejua uliyo nayo kichwani wewe!mkuu hata ukisoma maandiko hakuna andiko lililomruhusu mwanamke kuwa na me zaid ya mmoja bt wanaume walioa hadi wake 700 na michepuko 300 hivo kuna tofauti kubwa sana baina yetu.
maandiko ndo mwongozo wetu mkuu au wewe unaongozwa na nini?Hayo ni maandiko ndugu ...
Sawa endeleeni Kufanya mnayofanya.mkuu hata ukisoma maandiko hakuna andiko lililomruhusu mwanamke kuwa na me zaid ya mmoja bt wanaume walioa hadi wake 700 na michepuko 300 hivo kuna tofauti kubwa sana baina yetu.
mwanamke ukimcheat akajua ataumia bt sio kama maumiv apatayo mwanaume, kwanza unabaki unaza kanidharau au simridhishi, hakika wanaume huteswa sana na hali hii