Wanaume tuliowahi kupigwa na wanawake tukutane hapa

Wanaume tuliowahi kupigwa na wanawake tukutane hapa

akitaka siku hiyo nimtoe meno ya chumbani na kuvuruga meno ya sebuleni basi adhamirie kutaka kunipiga!! atapokea kipigo mbwa anasubiri.
NB; huwa napiga nikiletewa dharau!! otherwise mimi ni mpole sana ukiniona huwezi kudhania kuwa naweza dondosha dhoruba mithiri ile ya Kimbunga katrina
 
Mimi mwezi wa 9 mwaka huu, tulikua tuna ugomvi na demu wangu (chanzo kidogo tu ila kika escalate quickly), ni mixer ya Mjita na Mjaruo, aisee, nikajitia najua kurusha ngumi kwamba nimechukia.

Yule demu ana nguvu aisee, alinipiga na kisu akanishikia, alinikaba nikawa sipumui, alinipiga mangumi ya kichwani nilipoteza network kama dakika 10 nimelala chini.

Mambo yalipokuja kusettle namuheshimu sana. Kumbe uwa anadeka ila ananiweza kunipa kipigo vizuri tu.
Bado uko nae mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wana hasira. Kwanza nyumba mzima ilikua imejaa vioo. Maana alivunja glass zote, vyombo vyote, majagi, alinionea huruma TV tu ila vingine vya kupasuka vyote vilikua chini.

Yaani ningekua na CCTV mule ndani ingekua kichekesho kila nikiangalia. Alitoka nje kufuata kisu me nikajifungia ndani, mlango una makomeo matatu nikafunga mawili, aisee aliingia na mlango.

Nilitia hurum ila nikala kipigo bado.

Baadae wanaongea na maza wake maza anamwambia kakupiga demu anasema ndio kanipiga wakati mimi ndio nimepigwa vibaya.

Maza akasema muendee polis ana mjomba wake ni polisi wakasema wanisetie mpango nilale ata wiki moja ndani, dah aisee nilikua natia huruma.

Sema akipoa hasira utakaa ukamdhania watu wanasemaga namuonea sio muongeaji ila uyu jamaa anamjua mimi tu
Mkuu huyu mwanamke bado uko nae?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishuhudia manzi angu akikunjana na baunsa wa NAKOZI asee ilikuwa noma sema alipata nguvu baada ya mimi kutoka nje.

Sasa si ikatokea siku akataka niletea alizomletea baunsa😁😁😁😁 Mpare hata nisahau nilimchapa kipigo cha mbwa koko hadi polisi jamii kuingilia ugomvi kesi ikaenda kuwa solved kituo cha polisi Urafiki.
 
Back
Top Bottom