Wanaume tuliowahi kupigwa na wanawake tukutane hapa

akitaka siku hiyo nimtoe meno ya chumbani na kuvuruga meno ya sebuleni basi adhamirie kutaka kunipiga!! atapokea kipigo mbwa anasubiri.
NB; huwa napiga nikiletewa dharau!! otherwise mimi ni mpole sana ukiniona huwezi kudhania kuwa naweza dondosha dhoruba mithiri ile ya Kimbunga katrina
 
Nadhani ni udhaifu kumpiga unayeweza kumpiga.

😀 😀 Ukimpiga umemuonea, ukimuacha unamuogopa, chagua moja kumwogopa au kumwonea??

wakati mwingine bora umwogope. 🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Bado uko nae mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyu mwanamke bado uko nae?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishuhudia manzi angu akikunjana na baunsa wa NAKOZI asee ilikuwa noma sema alipata nguvu baada ya mimi kutoka nje.

Sasa si ikatokea siku akataka niletea alizomletea baunsa😁😁😁😁 Mpare hata nisahau nilimchapa kipigo cha mbwa koko hadi polisi jamii kuingilia ugomvi kesi ikaenda kuwa solved kituo cha polisi Urafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…