Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Wewe ni mwanaume... Tena baba laoNina weakness ya kupiga kiumbe cha kike hata n'gombe jike simpigi...namkinga asiniumize tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mwanaume... Tena baba laoNina weakness ya kupiga kiumbe cha kike hata n'gombe jike simpigi...namkinga asiniumize tu.
Naomba nikutangazie Ndoa zesh..mimi ninekupenda na wala sitakuja kukupigaWewe ni mwanaume... Tena baba lao
Eeeh bwana nikampuuzia akaja akanipa moja ilibaki kidogo nimuue ila hasira zikashuka fasta.
NimekusomaZunguka zunguka mkuu....
Ila wanawake wetu kwa ujumla ni wanawake....wengine wasio wetu uanawake kwao ni mdogo saana.
Naomba nikutangazie Ndoa zesh..mimi ninekupenda na wala sitakuja kukupiga
Kule kwenye uzi wa kula tunda kimasikhara huyu unayemsema upo ushuhuda wake baharia wa singida huko alituwakilisha vizur.Mimi napenda mwanamke mbabe afu awe anasauti ya bezi au kukwaruza.. Napenda mno! Kama Scarlett Johansson
Daaah ewaa asee zile mbinu za kula tunda kimasihara nimeanza kuona matunda yake sasaHahahahahahaha nimekubali kuolewa na wewe bila kipingamizi chochote na mahari yangu ni msaafu, karibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah ewaa asee zile mbinu za kula tunda kimasihara nimeanza kuona matunda yake sasa