Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Wanaume tulipewa laana moja tu kuwa TUTAKULA KWA JASHO LETU
Hii laana nyingine ya KULA KWA MACHO demu anapokatiza tumejiongezea wenyewe.
kwa viumbe hawa wa miaka hii acha tu laana inatafune
Hii laana nyingine ya KULA KWA MACHO demu anapokatiza tumejiongezea wenyewe.