Wanaume tumeruhusu wanawake wahodhi nguvu za kiroho (uchawi) then there is no hope for the future

Wanaume tumeruhusu wanawake wahodhi nguvu za kiroho (uchawi) then there is no hope for the future

tutajie na hizo nguvu za kiganga na kichawi zinapatikanaje
 
Nimekusoma mwamba, wanawake nowdays wana maconfidence ya ajabu.

Na hata visichana tu siku hizi vinajiamini sana. Wanaume wanaojiamini basi ni wale wanatumia mjani, pombe au kilevi fulani ndo kinawapa ujasiri.
Ila wanawake wala hawatumii hayo mazaga lakini wanamkalisha mzee kwa kwa kujiamini.
 
Nimekaa nimesoma kwa utulivu hadi nimejishangaa.
Leta MWENDELEZO mkuu
 
Back
Top Bottom