Nimekusoma mwamba, wanawake nowdays wana maconfidence ya ajabu.
Na hata visichana tu siku hizi vinajiamini sana. Wanaume wanaojiamini basi ni wale wanatumia mjani, pombe au kilevi fulani ndo kinawapa ujasiri.
Ila wanawake wala hawatumii hayo mazaga lakini wanamkalisha mzee kwa kwa kujiamini.