Wanaume tumeumbwa kwa matesoooo, matesooo-kuhangaika π„ž π„ž

"...Mabe mabe mabe mabera!
Mabe mabe mabe mabera!
Mabe mabe mabe mabera!
Mabe mabe mabe mabera!..."
 
Ni wale tu walioamua kuchukua majukumu makubwa kuliko uwezo wao binafsi,
Muwage specific bhana.
 
Wakati unastarehesha moyo wako ni vyema pia kuhakikisha familia yako umeiacha katika Hali nzuri, ni mbaya kula nyama choma na bia ilhali familia inashindia ugali na tembele.


Jukumu letu ni kuhakikisha ustawi na usalama wa familia zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…