wanaume tuna cha kujifunza kutoka kisa hiki cha faru john

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
nadhani mmesikia kisa cha huyu faru ambaye alikuwa na tabia ya kumiliki mademu (majike) wengi huko mbugani..tabia yake ya kupenda majike kupita kiasi ilimfanya awe mbabe na kuwanyang'anya mademu faru wote huko mbugani [hii inamaanisha alimnyang'anya hadi baba yake jike lake]..hali ikawa mbaya sana...inawezekana faru wengine walimchongea kwa maafisa(sina uhakika na hilo, bado nafanya uchunguzi) na hapo ndo zama za faru john zikafika tamati...akahamishwa hatujui kilichotokea baada ya hapo ila tunambiwa alishakufa...kama john angekuwa na si mpenda anasa za majike huenda angekuwa hai hadi leo ....Wanaume wenzangu tuache mixhepuko
 
Ndio maana sisi tunapata UKIMWI ila yeye adhabu aliyopewa sidhani kama alistahiki.
Kwa sababu walikuwa na uwezo wa kumfuga kama kiti moto vile pale wangekuwa wanahitaji kupata mbegu ya huyo faru wangemtoa kwenye banda lake then angeenda kugegeda kisha wanamrudisha ingwa ingekuwa kazi kubwa sana lakini ingesaidia kuongeza kizazi chake.
 
Haaaaaa,, wanabeba tu hata shemeji zao eti wao hawana cha ushemeji wanakulaga tu.
 
Fuatilia habari vizuri
huyu Faru alitolewa nje akaletwa
sasa unasemaje alikuwa na baba hapo?
 
Fuatilia habari vizuri
huyu Faru alitolewa nje akaletwa
sasa unasemaje alikuwa na baba hapo?
nimesikia baba yake alikuuwa anaitwa hamisi, jina la mama yake nimelisahau ila ni la kikristo.....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kweli hata ningekuwa mimi ndio hao faru wengine , lazima ningemchongea John kwa Maafisa pori
 
Alichukuliwa Tz ndo akapelekwa kutunzwa South Africa. Na alirudi ukubwani. Ndo akawa kiwembe

Baba yake Hamis alikufa 1992 na mama Betty wote wana passport za Tanzania..
ukhuty
 
Baba yake alikufa 1990 wakati mama yake alikufa 1991 faru john alizaliwa mwaka 1976 huko south mwakajana alikuja bongo hadi kifo cha kusadikika kinamkuta aliacha wake 37 huko south Afrika na watoto 90 na hapa tz ameacha wake 24 na watoto 50 RIP faru
 
Wangemconfine, yaani kumfungia sehemu siku wakitaka mbegu zake analetewa demu. Any way RIP john
 
Mbona kingi mswati yuko hai mpaka leo?
 
Aiseeee faru John amekuwa roll model wangu amekufa kishujaa naameacha wajane na mayatima wakitosha RIP braza John
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…