nadhani mmesikia kisa cha huyu faru ambaye alikuwa na tabia ya kumiliki mademu (majike) wengi huko mbugani..tabia yake ya kupenda majike kupita kiasi ilimfanya awe mbabe na kuwanyang'anya mademu faru wote huko mbugani [hii inamaanisha alimnyang'anya hadi baba yake jike lake]..hali ikawa mbaya sana...inawezekana faru wengine walimchongea kwa maafisa(sina uhakika na hilo, bado nafanya uchunguzi) na hapo ndo zama za faru john zikafika tamati...akahamishwa hatujui kilichotokea baada ya hapo ila tunambiwa alishakufa...kama john angekuwa na si mpenda anasa za majike huenda angekuwa hai hadi leo ....Wanaume wenzangu tuache mixhepuko