wanaume tuna cha kujifunza kutoka kisa hiki cha faru john

Wangemconfine, yaani kumfungia sehemu siku wakitaka mbegu zake analetewa demu. Any way RIP john
hebu assume wewe ndo ungekuwa faru jike... unakamatwa na unaambiwa leo tunakupeleka ukalale na faru john..ungekuwa unawazaje..? john hakuwa faru wa kisportsport
 
Michepuko au kuoa mke wa pili inakufanya uendelee kuwa Kijana ...by #on behalf of myself
 
Namjua vema huyu jirani.... Hakuwa na roho hizo mlizopandikizwa[emoji21][emoji21]
* RIP neighbour*
 
Mbona kingi mswati yuko hai mpaka leo?
Huyu John upweke ndio utakuwa umechangia alizoea ugangwe mademu anachukua kwa nguvu wahifadhi nadhani wakaona akiendelea kukaa hapo hizo mbegu zake watazaliwa watoto wenye tabia zake mwisho ingekuwa like father like son pangekalika hapo kuna John kama 30 pangekuwaje?
 
Alichukuliwa Tz ndo akapelekwa kutunzwa South Africa. Na alirudi ukubwani. Ndo akawa kiwembe

Baba yake Hamis alikufa 1992 na mama Betty wote wana passport za Tanzania..
Haaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…