- Thread starter
- #21
hebu assume wewe ndo ungekuwa faru jike... unakamatwa na unaambiwa leo tunakupeleka ukalale na faru john..ungekuwa unawazaje..? john hakuwa faru wa kisportsportWangemconfine, yaani kumfungia sehemu siku wakitaka mbegu zake analetewa demu. Any way RIP john