Wanaume tuna huruma sana

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Mwanaume anapokutana na msichana mrembo asiyemjua njiani harafu mrembo huyo akaomba msaada wa nauli kwamba amekwama...basi sina shaka mrembo huyo nauli atapewa na namba ya simu ataombwa mara nyingi lengo la kuomba namba ya simu ni kwa ajili ya kumjulia hali kama amefika salama na pia kumsaidia tena hela siku nyingine akikwama.."Hakika wanaume tuna huruma sana"

Pongezi kidogo kwetu wanaume [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kumbe tuko wengi wenye roho hiyo ya huruma aisee
 
Kiukwel wanaume tunajali sana katka kutatua matatzo ya jinsi Ke ndo maana wengi wao hupenda kujenga ukaribu na wanaume kuliko kujenga na wanawake wanzao kwan mwanamke anapokuwa na shda mwanaume yupo tayar kumsaidia kwa mawazo na msaada wa hali na mali kuliko mwanamke mwenzake akihofia unafik na kusengenywa kwa wengne
 
https://jamii.app/JFUserGuide beating around the bush.If sex is all you want,make that clear.If you want a relationship,make it clear.If you want somebody to talk to while your significant other is acting up,make that clear.Don't use people!Make it clear in the beginning and you won't have problems later
 
Hakika tunahuruma sana na mimba tunawapa bure kabisa.
 
Na muda ule mlipokutana ukimuuliza kwa nini alikuwa mnyonge sana akakuambia alikuwa na njaa, huwa tunaumia sana na kumwambia "Ungenambia mamie, umeshakula sasa?". Hakika tuna huruma
 
Huruma yetu ndyo inayotuponza, unakutana na binti unatongoza mnakubaliana unaanza kughalamika unatoa kishika uchumba, mahari arusi ya gharama kubwa unaweka ndani, mwisho wa siku unapigwa limbwana unakua zezeta.
NAPITA MIDA JAMANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…