RASCO BOY
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 428
- 485
Mwanaume anapokutana na msichana mrembo asiyemjua njiani harafu mrembo huyo akaomba msaada wa nauli kwamba amekwama...basi sina shaka mrembo huyo nauli atapewa na namba ya simu ataombwa mara nyingi lengo la kuomba namba ya simu ni kwa ajili ya kumjulia hali kama amefika salama na pia kumsaidia tena hela siku nyingine akikwama.."Hakika wanaume tuna huruma sana"
Pongezi kidogo kwetu wanaume [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Pongezi kidogo kwetu wanaume [emoji122] [emoji122] [emoji122]