Wanaume tuna matatizo gani?

Wanaume tuna matatizo gani?

SIPENDI TABIA HII MIMI

*Hakuna kitu kinachonikera kama mwanaume kumfuata msichana inbox iwe fb au whatsapp na kumuomba namba ya simu. Kama wewe ni msichana na unakerwa na hii tabia kama inavyonikera mimi, NITUMIE NAMBA YAKO YA SIMU INBOX* tujadiliane tuone ni kwa namna gani tunaweza *kulikabili hili tatizo*!!!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Unaendaje watsapp inbox kuomba namba ya simu wakati uko inbox umefika kwa kutumia namba ya simu???
 
Back
Top Bottom