Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Kuliko.kuhangaika na Mafuta Huwa nahangaika na matango,kitunguu swaumu,maji,matunda basi.

Sipaki Mafuta yeyote na Wala ngozi haijawahi pata shida yeyote sana sana Huwa wananiuliza natumia Mafuta gani nikiwaambia situmii hawaamini.

Msimu wa baridi ndio natumia Mafuta kidogo sema nimesahau jina 😁😁
Unafanyaje mkuu!
 
Kwa iyo ni govi?
Jaman magovi yanapelekeaga motoo hadi unaomba poo jaman, nadhani ni sababu ya hilo govi sijui jaman, kama wale wamasai wanavyokunaga hadi raha na govi hivyo hivyo jaman, ndio maana nimegundua wazungu wengi hawatoi govi
 
Kwa wale wanaume tunaopenda kuwa smart, nashauri tutumie hizi package zitakuweka smart sana bila kujali unafanya kazi gani na eneo gani.

Dove Gel Body Wash
View attachment 3207110
Hakikisha ni Secret, ujue pia kutofautisha fake na OG. Chupa ndogo inauzwa Sh.12,000 mpaka 15,000. Kubwa inauzwa Sh.20,000.

Jergens Utra Healing.
Haya mafuta ndio ninatumia mimi, nimeona matokeo mazuri sana. Usichukue Jergens yeyote tu bali chuku Utra Healing yenye Vitamin C, E na B5.
Bei yake sio kivile ni Sh.45,000 mpaka Sh.50,000

View attachment 3207079

Nivea Men Breathable
Haya mafuta ni ya ukweli sana wakuu, jaribu kuyatumia utayakubali
View attachment 3207094

Kwa body lotion napendekeza hayo mafuta

Dove Hand Cream
View attachment 3207100
Pamoja na kutumia body oil bado hutakiwi kukosa Hand Lotion kwa ajili ya kuiweka mikono yako vizuri. Hasa kwa wale wa maofisini usikose hii kitu kwenye kibeg au kwenye gari. Labda umefanya kazi ngumu ya kutumia mikono,au vyovyote vile umeona mikono yako haiko sawa, tumia hiyo hand lotion.
Kwa mimi napendekeza Dove hand cream. Inauzwa Sh.10,000 mpaka Sh.12,000
NIlivyoona neno smart nikaja mbio nikafikiri ni smart kichwani, kumbe ni masuala ya vipondozi.

Mimi sipo rafu lakini masuala ya vipodozi hapana. Nikiogea sabuni ya jamaa inatosha. Kutokana na joto la dar huwa situmii mafuta wala rosheni yoyote. Nina mafuta ya mgando geto yanamaliza karibu miaka miwili saiv chupa haijafika hata nusu
 
Back
Top Bottom