emanuel prim
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 508
- 475
Wa dizain hii siku akiingia kingi tu amekwisha. maana ni mpunyuo wa adabu na sirudi nyuma [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ukimuona mtu anajitafunia vyake usione kavipata kirahisi rahisi tu,hakika wanaume tunapitia mengi sana kwenye mitongozo
Unaweza kutuma msg 40 hakuna inayojibiwa hata moja ila tunapambana tu[emoji23] [emoji23]
View attachment 796402