Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 462
- 907
Kuna Kungwi mmoja ametushauri wanaume eti tunapo gegenda tuwe tunatoa japo miguno, kwasababu inawaamsha sana wadada.
Sasa kwenye hizi Nyumba za kupanga itakuwaje?
Akina dada hebu watuambie nafasi ya miguno ya kiume kwenye 18.
Sasa kwenye hizi Nyumba za kupanga itakuwaje?
Akina dada hebu watuambie nafasi ya miguno ya kiume kwenye 18.