Wanaume tunawashambulia wanawake kupita kiasi

Wanaume tunawashambulia wanawake kupita kiasi

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
Kila mtandao ukipita,utakuta wanaume wakiwashutumu wanawake sana,tena kwa maneno makali mno,kila uovu,kila ubaya tunawapakaza

Wanawake,wezi,malaya,matapeli,majambazi,wakorofi,wazinzi,wavivu,wachafu,wananuka,,hawaaminiki,yaani kila ubaya,you just name it.

Hapana hii si sawa
 
Kila mtandao ukipita,utakuta wanaume wakiwashutumu wanawake sana,tena kwa maneno makali mno,kila uovu,kila ubaya tunawapakaza wanawake,wezi,malaya,matapeli,majambazi,wakorofi,wazinzi,wavivu,wachafu,wananuka,wanapakuliwa mbele na nyuma,hawaaminiki,yaani kila ubaya,you just name it.Hapana hii si sawa
Mbona hujatoa maoni yako au na ww ulitaka uwaseme kidizaini
 
Kila mtandao ukipita,utakuta wanaume wakiwashutumu wanawake sana,tena kwa maneno makali mno,kila uovu,kila ubaya tunawapakaza wanawake,wezi,malaya,matapeli,majambazi,wakorofi,wazinzi,wavivu,wachafu,wananuka,wanapakuliwa mbele na nyuma,hawaaminiki,yaani kila ubaya,you just name it.Hapana hii si sawa
Wee unaona sawa wao kutuita sie mbwa?
 
Sio sawa sio wanawake wote Wana matatizo , kujumuisha matatizo ya mwanamke wako uwaweke wote nao ni udhaifu kwani Sisi wanaume ni malaika hatuwakosei?
 
Kila mtandao ukipita,utakuta wanaume wakiwashutumu wanawake sana,tena kwa maneno makali mno,kila uovu,kila ubaya tunawapakaza wanawake,wezi,malaya,matapeli,majambazi,wakorofi,wazinzi,wavivu,wachafu,wananuka,wanapakuliwa mbele na nyuma,hawaaminiki,yaani kila ubaya,you just name it.Hapana hii si sawa

Haya yote yanatokana na ukatili wa kimapato; wanawake zetu hawa bado wanaishi na ile mentality ya kibiblia kwamba inabidi watunzwe ikiwezekana mpaka pesa ya pedi itoke kwa mme na huyu mme wa karne hii mwaka huu 2024 hana nguvu ya kiuchumi kama mme aliye kwenye peak miaka ya 2000 au kipindi cha miaka ya 90 (ikumbukwe 1,000,000 tshs ya mwaka 2000 ilikuwa inaweza kununua vitu vyenye thamani ya tshs 5,000,000 kwa sasa)

Hivyo wanaume tunaishi na wanawake ambao nyakati zimewaharibu kusema kweli, akiwa hafanyi kazi basi anategemea atunzwe kama kipindi hicho bila kujali mfumuko wa bei, akiwa anafanya kazi bado ni changamoto maana pesa zake ni zake na za kwako ni zake pia; ulipe kodi, ugharamie chakula, watoto waende shule na hapo hapo atataka pesa za kucha na Mawigi, ikiwa na harusi za mashosti na ndugu zake uchangie pia
Ni ukatili wa kimapato kusema kweli, mwanamke anataka punda kwanza afu mme baadae
 
Back
Top Bottom