fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Mbona hujatoa maoni yako au na ww ulitaka uwaseme kidizainiKila mtandao ukipita,utakuta wanaume wakiwashutumu wanawake sana,tena kwa maneno makali mno,kila uovu,kila ubaya tunawapakaza wanawake,wezi,malaya,matapeli,majambazi,wakorofi,wazinzi,wavivu,wachafu,wananuka,wanapakuliwa mbele na nyuma,hawaaminiki,yaani kila ubaya,you just name it.Hapana hii si sawa
Wee unaona sawa wao kutuita sie mbwa?Kila mtandao ukipita,utakuta wanaume wakiwashutumu wanawake sana,tena kwa maneno makali mno,kila uovu,kila ubaya tunawapakaza wanawake,wezi,malaya,matapeli,majambazi,wakorofi,wazinzi,wavivu,wachafu,wananuka,wanapakuliwa mbele na nyuma,hawaaminiki,yaani kila ubaya,you just name it.Hapana hii si sawa
Namshangaa huyu mmang'atiWee unaona sawa wao kutuita sie mbwa?
Kila mtandao ukipita,utakuta wanaume wakiwashutumu wanawake sana,tena kwa maneno makali mno,kila uovu,kila ubaya tunawapakaza wanawake,wezi,malaya,matapeli,majambazi,wakorofi,wazinzi,wavivu,wachafu,wananuka,wanapakuliwa mbele na nyuma,hawaaminiki,yaani kila ubaya,you just name it.Hapana hii si sawa