umekuwa kuku sasa?@arachaga, baba mngoni,mama mchagga
inabidi uanzie mbali na kimafumbo kumkosoa mpenzi wako kwa mambo ya chumbani na hasa kitandani ila kuendelea kikaa kimya wakati unapunjwa ni upuuzi pia.
Wanaume acheni uvivu, kama ni pumzi basi fanyeni jogging kidogo kila jioni at least three times a week muwe na afya za uhakika
jitahidini mkiscore 60 tutawarank 90 ila sio mpate 20 mwombe 80.
mnashindwa hata kuchezea maziwa mnategemea nini??? wikiend hiyooo kajiangusheni kama kawa
kwanini abakwe jamani.kina baba mkikosolewa kwenye mambo hayo mnakuwa wakali...........
leo ntakomaa nao yaani wanasredi kibao za kuponda, wana hadithi kibao mara hapa nimfanya vile ,hivi kumbe upepoHahahahah. .. .Marytina bana.
Haya ngoja wahusika waje kujibu mashtaka.
utakuta jamaa kwa kuwa amenunua gari basi hata zoezi la kutembea kidogo hafanyi akija bed anakuwa kama yupo ICU kwa kisukari
Mnashindwa hata kuchezea maziwa mnategemea nini??? wikiend hiyooo kajiangusheni kama kawa
wamezoea kukosoa na si kukosolewa
hapa naikumbuka sredi ya LIZZY :Kwa nini watu hawapendi kukosolewa
leo ntakomaa nao yaani wanasredi kibao za kuponda, wana hadithi kibao mara hapa nimfanya vile ,hivi kumbe upepo
endelea na utani wako kila siku mwenzio anatoka kapaumekuwa kuku sasa?
some are my brazers siwaogopioops! ngoja wenyewe wakuporomokee huko!!!!!!1:A S-coffee::behindsofa::car:
pls will tell this your beloved mchumba/mkee????????????bora umetoa dukuduku lakini lakini ukishazoa wali nyama unahitaji na biriani siku moja moja..
duh!!! hii kaliWengine tunanyimwa kuyachezea eti yatachacha
Wengine wanatukataza eti yatatepeta nakuwa kandambili
Tatizo hua wanadhani wanajua kwahiyo ukimkosoa ni kama umemtukana vile.leo ntakomaa nao yaani wanasredi kibao za kuponda, wana hadithi kibao mara hapa nimfanya vile ,hivi kumbe upepo
duh!!! hii kali
ila ukukuruke sio unakuwa na kimwili kama chako na game unashindwa
unataka mpaka tuteguke viuno????????na kushindwa kwenda makazini?????????????na nyie sometimes huwa hamjitumi