Wanaume tunawavumila ila kila nyakati mnaboa sana

Wanaume tunawavumila ila kila nyakati mnaboa sana

Marytina

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
9,585
Reaction score
7,766
@arachaga, baba mngoni,mama mchagga

inabidi uanzie mbali na kimafumbo kumkosoa mpenzi wako kwa mambo ya chumbani na hasa kitandani ila kuendelea kikaa kimya wakati unapunjwa ni upuuzi pia.

Wanaume acheni uvivu, kama ni pumzi basi fanyeni jogging kidogo kila jioni at least three times a week muwe na afya za uhakika
Jitahidini mkiscore 60 tutawarank 90 ila sio mpate 20 mwombe 80.

Mnashindwa hata kuchezea maziwa mnategemea nini??? wikiend hiyooo kajiangusheni kama kawa

Yaan tokea mwanaume anunua gari hajawai hata siku mmoja kwenda uwanjani kufanya zoezi (kukimbia aka jogging) sasa anategemea nini????????????
 
A%20S%20465.gif
hii ya jukwaa la wakubwa lol!
A%20S%20465.gif
 
@arachaga, baba mngoni,mama mchagga

inabidi uanzie mbali na kimafumbo kumkosoa mpenzi wako kwa mambo ya chumbani na hasa kitandani ila kuendelea kikaa kimya wakati unapunjwa ni upuuzi pia.

Wanaume acheni uvivu, kama ni pumzi basi fanyeni jogging kidogo kila jioni at least three times a week muwe na afya za uhakika
jitahidini mkiscore 60 tutawarank 90 ila sio mpate 20 mwombe 80.

mnashindwa hata kuchezea maziwa mnategemea nini??? wikiend hiyooo kajiangusheni kama kawa
umekuwa kuku sasa?
 
Hahahahah. .. .Marytina bana.

Haya ngoja wahusika waje kujibu mashtaka.
 
kwanini abakwe jamani.kina baba mkikosolewa kwenye mambo hayo mnakuwa wakali...........

wamezoea kukosoa na si kukosolewa
hapa naikumbuka sredi ya LIZZY :Kwa nini watu hawapendi kukosolewa
 
Hahahahah. .. .Marytina bana.

Haya ngoja wahusika waje kujibu mashtaka.
leo ntakomaa nao yaani wanasredi kibao za kuponda, wana hadithi kibao mara hapa nimfanya vile ,hivi kumbe upepo
 
oops! ngoja wenyewe wakuporomokee huko!!!!!!1:A S-coffee::behindsofa::car:
 
bora umetoa dukuduku lakini lakini ukishazoa wali nyama unahitaji na biriani siku moja moja..
 
Wengine tunanyimwa kuyachezea eti yatachacha
Wengine wanatukataza eti yatatepeta nakuwa kandambili
duh!!! hii kali

ila ukukuruke sio unakuwa na kimwili kama chako na game unashindwa
 
duh!!! hii kali

ila ukukuruke sio unakuwa na kimwili kama chako na game unashindwa

Kila mwanamke anavionjo vyake bana kila ukikukuruka ndo hivyo unapewa masharti eti nisimpapase kalio
 
Back
Top Bottom