Wanaume tuongee na Madaktari

Why nomo is better than c-s?
Spontaneous vagina delivery ndio njia sahihi ya kujifungua. Hata mungu aliweka hio.
C/s ni kama shortcut. Mtu huzai Kwa uchungu kwahio lazima ukutane na mateso mfano kuchelewa kupona afu kingine mumeo hatoweza kuvumilia kutopata unyumba Kwa kipindi unajiuguza.

Afu kingine ukishajifungua Kwa C/s uzazi wako wote utakua hivo hivo, tumboni apo patajaa makovu tu
 
Inarudi ukizingatia kanuni za uzazi,, kusex iwe ni baada ya wiki 6 tangu kujifungua ila hata ikizidi hapo inakuwa bora zaidi, mazoezi ya kegel yanarudisha maumbile chap tu,
Wiki sita huyo mzazi kama alichanwa ili kuongezewa njia haitoshi usidanganye watu

Ili mzazi awe tayari kwa ajili ya ngono kuna vitu vikuu ambavyo kimila na kibaiolojia lazima vizingatiwe

1.misuli ya tumbo kurudi katika hali yake, hii inachukua miezi 6 hadi 8 inategemeana na mtu

2.misuli ya uke kurudi katika hali yake kama zamani kipindi hajapata ujauzito, hii inachukua miezi 7 hadi 9 inategemeana na mtu

3.homoni(hisia za kufanya mapenzi) huzalishwa baada ya mtoto kuanza kula chakula mwenyewe (hii inachukua miezi 12 hadi 15 kulingana na mtu)

NB
Wanawake wazazi wanakubali kushiriki ngono kwa sababu anakuwa na wasi wasi wa uvumilivu wa mmewe kuwa na subira anahisi mmewe atatoka nje ya ndoa

Kingine wanaume wanawalazimisha wazazi kufanya ngono kisa tu wanajiona wana mamlaka ya kufanya hizo
 
Hii comment uliandika wakati umevuta bangi? Mbona inachekesha Sana?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Daah asee nimepita na masingo mama wengi tu ila sijanotice hii kitu, mi nahisi ni maumbile tu, waweza mkuta mmama ameshusha injini mara zaidi ya tatu lakini akawa mnato kuliko kidada kinachoanza hayo mambo.
Tusiwasingizie wataalam jamani huenda ni maumbile tu.
 
Hizi comments naishia kucheka tu maana dah!!

Ila mkuu daktari unamsingizia tu,tatizo wanawake wenu wa siku hizi wakitoka kujifungua mnawaingilia baada ya wiki mbili tu,hiyo k imerudi lini Kwenye hali yake?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Waambie pia,mwanamke mwenye makovu ya kisu tumboni hata awe mrembo na tako vipi,akishavua nguo tu anapoteza mvuto maana pale kwenye mshono/mishono panakuwa na mwonekano mbaya,panakamkatisha stimu mwanaume.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kabla ya kuniita muongo nenda hospitali waambie watoe hizo wiki 6 waweke miezi 7, halafu miezi yote hiyo mwanaume gani huyo unalala nae siku zote hizo bila bila,, hebu acha utani basi kwenye vitu serious,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…