Wanaume tuongee na Madaktari

Hili hapa ndo jibu, wanawaingilia mapema, wanafanya km wanatwanga mahindi wanashindilia tu lidudu na ndo ukute analo kubwa lazima uchi utanuke njia 8😅
 
Mbona mlikaa kimya sikuzote bila kusema kuwa mnasababisha mabwawa..hadi mzalendo mmoja qnakuja hapa kufumbua watu macho ...pumbafuu zenu madoctor....unapo linyamazia tatizo ujue unaliongezea nguvu na madhara
Hatusababishi mabwawa😀😀😀 ni vichwa vikubwa vya wanawe
 
Carlos The Jackal mtoa mada anadhalilisha taaluma
 
😍😍😍 utamu kunoga
 
Chief ulishawahi kufika kwenye chumba cha uzazi ukamuona mkeo anavyojifungua? Kama hujawahi, fanya kwamtoto wako mmoja ukaone.

Pia njia ya uke kupanuka ni factor nyingi sana zinakuwa involved, ila main factor ni mtoto anaepita na jinsi anavyopita kama ametanguliza kichwa, mgongo au miguu. Pia episiotomy wakati wakumshona mama ikiwa umeongeza njia ina vipimo vyake sio hivyo uvisemavyo.

Pia jua uke kupitisha choo kikubwa ni fistula hiyo ni consequences za vitu vingine ambapo sitaviongelea. Mkojo kutoka kidogo sikitu chaajabu baada ya kujifungua maana misuli ya ukeni imekaribiana na kibofu hivyo baada ya kujifungua itachukua muda misuli kukaza na kibofu kubana vizuri.

Jua hili mama mzazi anatakiwa awemsafi sana maana kipindi cha mimba akichekeshwa sana tu mkojo hutoka kidogo kwasababu ya presha ya mimba katika kibofu. Ila ukisema mke ajifungue kwa c/section basi usimlaumu asipotaka mimba inayofuata maana kuna complications ambazo hutokea na anaweza kufikia hatua ya operesheni ya pili muda simfupi baada ya uzazi au baada ya miaka kadhaa. Hizo complications kaziulize uelezwe vizuri na daktari, hapa nitajasa kurasa.
 
Kabla ya kuangushia lawama zote kwa madaktari na manesi,tuangalie na sababu hizi pia
1. Wanawake wengi wanakataa kushonwa msamba pale mtoto anapoongeza njia
2. Mwanamke aliyechanika msamba akishashonwa hatakiwi kunawa na maji ya moto ndani ya wiki moja ili nyuzi zisiachie(absorbable suture) lakini kulingana na mila na desturi na kutofuata maagizo wengi wanakandwa hivyo nyuzi kuachia na kuna wanaorudi hospital kuomba kushonwa tena pale ambapo anaona njia imekua kubwa

Hivyo basi kama jamii tuendelee kuwaelimisha wakina mama kufuata maagizo na kutokukataa matibabu maana ni haki yao kuchagua na akikataa huwa halazimishwi anapewa tu ushauri na kusaini kuwa nimeamua sitaki kushona,sasa wewe ndugu mleta mada je mke wako alikubali kushonwa au alikataa? au hajataka kukuambia ili mzigo wote urudi kwa wakunga?
 
Mwanamke anaezaa KWA kisu huwa hana uchungu wa mwana.
Mm na wadogo zangu tumezaliwa kwa cs ila tunapendwa vzr tu. Na nishaona wamama waliozaa kwa kawaida ila hawana uchungu kwa watoto wao, mfn; hawa wanao zaa afu wanatupa watoto wao chooni, jalalani nk... wengi wao unakuta wamezaa bila cs, ila mbona hawana uchungu na wanao?
 
[emoji23][emoji23]Mbona umekuwa mkali hivo huoni nazeeka dadaako unataka nizae jua la jioni nikahangaishe manesi[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani hapo unaona nimekuwa mkali, haha bado hujaujua ukali kwakweli. Sasa wewe leta half package kama sijahakikisha tunafunga kabisa hicho kizazi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani hapo unaona nimekuwa mkali, haha bado hujaujua ukali kwakweli. Sasa wewe leta half package kama sijahakikisha tunafunga kabisa hicho kizazi.
😂😂😂
 
Hajielewi huyo. Kwani mtu akijifungua kwa c-section hamna maumivu yoyote anayopata. Kwanza yanaanzia kwenye catheter ukite nurse hajui kuiweka vizuri. Mara ganzi iwe haijakolea humo theater. Ukitoka ukapiga domo hiko kichwa kinavyouma hakielezeki. Bado kidonda hakijapona vizuri kimepata infection. Shida watu wanafikri kujifungua kwa c-section ni mserereko kumbe sio kweli.
 
Dah we kweli wamekuchosha, tena mwili na roho.
 
Sindo hapo sasa. Tatizo sio madktari wala huduma za afya bali tatizo ni elimu kwa hao watu wenyewe wanaopatiwa huduma. Sasa unakuta mtu anaimani za kikabila (na hata za kishirikina), ana imani za dini yake alafu mtu huyohuyo unategemea aelewe haya mambo. [emoji1787]ni kazi kweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi awe anapasuliwa yeye ili mvuto wa mkewe usalie.waambie madaktari washone vizuri wakishatanua njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…