Wakuu mnajua Nini! Kwanza salamu sana. Pia amani ya mola iwe juu yenu. Nimekuja jukwaani Leo si Kuleta misemo na nahau ngumu kuzin'gamua bali nimekuja la jambo wote kunisaidia.
Ni ajabu kwangu Leo wanawake wengi wamekumbwa na wimbi la wao kudai Mali nyingi hata kama wamezikuta huko walikoolewa! Wengine wanasababisha migogoro mikubwa Kwa uchepukaji, uzinifu na tabia nyingi za ovyo! Kuna kipindi mameni tunavumilia tunasema Sasa basi. Hatuwezi kuendelea nao. Shida inaanzia hapo ... Wamama hao hutaka mgao wa Mali pasu pasu mahakamani. Ukiniona ninavyotaabika kujenga tofali mojamoja nitalia sana shem wenu akidai pasupasu nikioa.. Nini hiki?
Tupeane mbinu ..Wanangu au mimi ndio Niko nyuma kwenye mambo ya dunia ya kisasa.