Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hiki kipindi namba nyingi zinajigonga gongahawa viumbe hawa ahahahaha.. mimi kuna mmoja kanicheki ananiambia kuna siku nilimtafuta nikamwambia nimekosea namba
Nami nimejipanga nanyuti mpaka 28 ndio ntaanza mawasiliano
Baada ya hapo nawapa break kuanzia tarehe 30