Hiki kipindi namba nyingi zinajigonga gongahawa viumbe hawa ahahahaha.. mimi kuna mmoja kanicheki ananiambia kuna siku nilimtafuta nikamwambia nimekosea namba
nazima simu baadae najitetea iliibiwa ndio nimerinyuuuu lainiZima simu mkuu mpaka sikuku ipite lasiivyo ukubali mawili kupigwa au lawama.
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀Me nilishayajua haya nikawapanga mapema kuwa Niko chaka huku nafatilia mishe Fulani ya pesa, hvyo kuna tatizo la network. So nisipopatikana mda mrefu wasishangae.. Na wamejaa kabisa kudadadeq, nimewablock mazima. Na- make sure hadi mwaka mpya umepita ndo nitawa-unblock na maneno mazuri yakuwalainisha..
Sitakagi ujinga me aaalah..!!
No,hana tattookubabake zake, huyo wa kutokusema hata asante mtemeeeeee.. nishawahi kuwaga na huyo wana tabia mbaya sana.. ana tatoo????
Utapewa money laundry ndo uta doHalafu leo nimepokea simu namba ngeni, sauti nyororo imsema "mambo vipi" nikamjibu freshi halafu akakata simu
Hapa target yangu ni kumtafuta kesho kutwa au ikiwezekana niwe na subra nimcheki ijumaa
Hapo labda mpaka January kabisaHiki kipindi namba nyingi zinajigonga gonga
Nami nimejipanga nanyuti mpaka 28 ndio ntaanza mawasiliano
Baada ya hapo nawapa break kuanzia tarehe 30
Hahahaha nakuonaga mgumu kumbe lakini kinoma[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nishakula nyundo tatu,,mbili imebidi nitoe,,ila hii moja nimetupilia mbali kiroho mbaya..demu unampa hela hata kukutumia text ya asante nimeiona hatumi
Alooo nimechekaaaa japo haichekeshii...Mimi nishakula nyundo tatu,,mbili imebidi nitoe,,ila hii moja nimetupilia mbali kiroho mbaya..demu unampa hela hata kukutumia text ya asante nimeiona hatumi
Unahisi ni chimbo mojaaa?kubabake zake, huyo wa kutokusema hata asante mtemeeeeee.. nishawahi kuwaga na huyo wana tabia mbaya sana.. ana tatoo????
Hamna, wenye tattoo akili zao zinakuaga zinafanana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unahisi ni chimbo mojaaa?
Hapa nishapigwa nyundo kama 2 hivi, na wote ni wanawake ambao naona hapo baadae wana manufaa, hi ndio hasara ya kujimwambafai maneno mengi sikukuu kama hii unaingia mitini!
Au kesho nizime simu nini wazee maana sielewi bajeti na matumizi haviendi sambamba!
Au nyie mnatumia njia gan kuruka hivi viunzi kwa mtu ambae hutaki kumpoteza??
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nilishayajua haya nikawapanga mapema kuwa Niko chaka huku nafatilia mishe Fulani ya pesa, hvyo kuna tatizo la network. So nisipopatikana mda mrefu wasishangae.. Na wamejaa kabisa kudadadeq, nimewablock mazima. Na- make sure hadi mwaka mpya umepita ndo nitawa-unblock na maneno mazuri yakuwalainisha..
Sitakagi ujinga me aaalah..!!
Papuchi hainaga makombo kiongozi.. Ukitaka ku-prove hilo vamia bibi kizee yeyote, still papuchi yake ni murua.
Na akivamia bila makubaliano...nikosa LA jinaiPapuchi hainaga makombo kiongozi.. Ukitaka ku-prove hilo vamia bibi kizee yeyote, still papuchi yake ni murua.
Na akivamia bila makubaliano...nikosa LA jinai
Lazima ufilisikeHahahahahha mwanangu ,kama vile unazungumza namimi ..
Mpaka kufikia Muda HUU....Yasoda nimeombwa na mademu 11... Kati ya hizo , nmeshafanya muamala wa watu sita tu ...
Nyingine mimeweka Pending !!!
Sio kila demu ni Mpenzi .