Wanaume tupewe 'free pass' ya Mbinguni

Wanaume tupewe 'free pass' ya Mbinguni

Sheffer95

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2020
Posts
211
Reaction score
515
Nimekaa nikawaza sana kuhusu hili na naamini wanaume tuna deserve free pass ya kwenda mbinguni kwa baba 😊kwasababu:

1. Tunarogwa na wake zetu tusichepuke
2. Tunarogwa na michepuko yetu tuijengeee na kusahau familia zetu
3. Tunarogwa makazini
4. Tunarogwa ukweni tusiwe na sauti kwenye familia zetu
5. Tunarogwa na ndugu zetu ili tusitoboe au tuwasaidie wao watoboe

Kwa haya machache hakika tutafika tukiwa tumechoka sana hata shetani mwenyewe kuna wakati anatuonea huruma
 
Nimekaa nikawaza sana kuhusu hili na naamini wanaume tuna deserve free pass ya kwenda mbinguni kwa baba [emoji4]kwasababu:

1. Tunarogwa na wake zetu tusichepuke
2. Tunarogwa na michepuko yetu tuijengeee na kusahau familia zetu
3. Tunarogwa makazini
4. Tunarogwa ukweni tusiwe na sauti kwenye familia zetu
5. Tunarogwa na ndugu zetu ili tusitoboe au tuwasaidie wao watoboe

Kwa haya machache hakika tutafika tukiwa tumechoka sana hata shetani mwenyewe kuna wakati anatuonea huruma
7/Tunalogwa na wafanyabiashara ili tununue bidhaa kwao
8/Tunalogwa na wanafunzi ili tusione makosa yao na kuwaadhibu
9/Tunarongwa na mahousegirl ili walinde kibarua chao na kuwa wake ikibidi
10/Tunalogwa na majirani ili tusisogee kimaendeleo
11/Tunalogwa na wenye nyumba ili tusijenge nyumba zetu kwani zao zitakosa wapangaji
12/Tunalogwa na shangazi zetu ili tusizae/tuzae mazezeta ili tusomeshe watoto wao.
[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] ni vuluvulu,kweli tunahitaji free pass [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Changamoto ni nyingi na ndio maana ule wimbo wa Mwendo ameumaliza huwa unanigusa sana
 
Back
Top Bottom