Hapo hapo tunaambiwa twende Ukraine...🤣Yaani hatupoi mara 50-50,
7/Tunalogwa na wafanyabiashara ili tununue bidhaa kwaoNimekaa nikawaza sana kuhusu hili na naamini wanaume tuna deserve free pass ya kwenda mbinguni kwa baba [emoji4]kwasababu:
1. Tunarogwa na wake zetu tusichepuke
2. Tunarogwa na michepuko yetu tuijengeee na kusahau familia zetu
3. Tunarogwa makazini
4. Tunarogwa ukweni tusiwe na sauti kwenye familia zetu
5. Tunarogwa na ndugu zetu ili tusitoboe au tuwasaidie wao watoboe
Kwa haya machache hakika tutafika tukiwa tumechoka sana hata shetani mwenyewe kuna wakati anatuonea huruma
Vitu vingi ulimwenguni vipo kinadharia na kusadikika havina ukweli 100%. Ila imani sio mara zote inahitaji evidenceMimi nilijua free pass kwenye madisko huko kumbe unazungumzia mbingu kitu ambacho hata uwepo wake ni nadharia/wakusadikika.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Changamoto ni nyingi na ndio maana ule wimbo wa Mwendo ameumaliza huwa unanigusa sana7/Tunalogwa na wafanyabiashara ili tununue bidhaa kwao
8/Tunalogwa na wanafunzi ili tusione makosa yao na kuwaadhibu
9/Tunarongwa na mahousegirl ili walinde kibarua chao na kuwa wake ikibidi
10/Tunalogwa na majirani ili tusisogee kimaendeleo
11/Tunalogwa na wenye nyumba ili tusijenge nyumba zetu kwani zao zitakosa wapangaji
12/Tunalogwa na shangazi zetu ili tusizae/tuzae mazezeta ili tusomeshe watoto wao.
[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] ni vuluvulu,kweli tunahitaji free pass [emoji23][emoji23][emoji23]