kwa uchumi huu wa sasa watakeshaKwaio wewe umekubali kuwa mkate
Siku hizi hawataki vitu wanahitaji kiguu cha mtoto kikimkolea yeye ataleta kila kitu badala ya kupewaTatizo ni kwamba huwez kuwapata hao wanawake bila kuwapa ivyo vitu mkuu. .basi tupe ushauri tuwape vitu gani badala ya ivyo ulivyovitaja ili tuwapate kirahisi