Wanaume tupimwe akili

Wanaume tupimwe akili

ze big

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
382
Reaction score
350
Zawadi ambazo MWANAUME humzawadia MWANAMKE:
1. Nyumba
2. Gari
3. Duka/biashara
4.Simu
5.Mikufu pete na vito vya thamani

Zawadi ambayo MWANAMKE humzawadia MWANAUME:
1. Vest
2. Boksa
3. Saa
4. Magonjwa

Wanaume Tupimwe akili [emoji3][emoji23][emoji23]

by Donald Trump
 
Tatizo ni kwamba huwez kuwapata hao wanawake bila kuwapa ivyo vitu mkuu. .basi tupe ushauri tuwape vitu gani badala ya ivyo ulivyovitaja ili tuwapate kirahisi
 
Unatakiwa uzidishe mambo mengine
 
Tatizo ni kwamba huwez kuwapata hao wanawake bila kuwapa ivyo vitu mkuu. .basi tupe ushauri tuwape vitu gani badala ya ivyo ulivyovitaja ili tuwapate kirahisi
Siku hizi hawataki vitu wanahitaji kiguu cha mtoto kikimkolea yeye ataleta kila kitu badala ya kupewa
 
Back
Top Bottom