Wanaume tupunguze au kuacha kabisa kuhonga

Usikate tamaa Mkuu. Focus iwe mbele siku zote Mkuu, kikubwa umesha jifunza jambo, usi fanye kosa tena.
 
Kuwa makini na hayo maneno, kumbuka fainali uzeeni.
Waulize wazee ambao sasa hivi hawana kitu, umri ume enda, hawana hata nguvu tena. Yote tisa kumi hata pesa hawana tena

Hope watasema kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake ha h ha ha 😂 😂
 
Wengi wa wanaume wanapitia umri ambao watahonga tu hata iweje.

Ila ulichosema ni muhimu wanaume wakizingatie, muhimu sana. Kama watu wanadhani maisha ni simple kama ilivyokuwa 90s hadi early 2000, wajue sasa mambo yamekuwa tofauti.
Maisha ya sasa ni tofauti kabisa na maisha ya haya 2005 kurudi nyuma.
Ina sikitisha sanaa.
 
Hivi nyie wenzangu pesa mnatafuta za nini?

Mimi bana nitahustle na nitasaka mkwanja na kuwekeza ila yote hayo nafanya kwa ajili ya vitu viwili kula na kutwala aka kugegeda baasi
 
kama unataka mahusiano serious jitahd uwe kwenye mahusino na mwanamke anayekupenda yaani mwenye hsia na ww , sio unayempenda ww , hutaona hayo mapicha picha

mwanamke wa kumhonga ni yule part time tuu yaan win win stuation , anytime mkeka unachanika kila mmoja kivyake ,

By nature hsia za mwanamke huvutiwa na sio kumhonga , unaweza kumhonga kama hajavutiwa na ww utapata tabu sana ,

so jitahd kuvutia na sio kufukuzia
 
Hii fact mzee dem akikupenda wala upati tabu
 
Ni kweli Mkuu,ume ongea point kubwa sana. Wanaume tuwe makini sana, kuna wazee (hawa baba zetu) sasa hivi una waonea huruma ila uki uliza kipindi walipo kuwa vijana una ambiwa walikuwa wana hela ila zili ishia kwenye umalaya, pombe na anasa sasa hivi kwenye uzee wao hawana kitu yaani wamechoka hata watoto hawana muda nao.

Hapa mtaani kwetu kuna mzee mmoja yupo smart sana, miaka 65 kuelekea 70 ila ana nguvu na ana vaa smart pamoja na uzee wake, ana nyumba nzuri tuu na ameweka nyingine ya kupangisha.

Uki muangalia tuu huyu mzee una jua kipindi alipo kuwa kijana alikuwa mtu makini sana kwenye hela zake hakuwa mtu wa kutaka mchezo mchezo.

Wanaume fainali uzeeni tuweni makini sanaa
 
1. Pesa anapewa mchumba/mke tu ambaye una uhakika naye.
2. ili usihonge hupaswi kujiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi au kirafiki na mwanamke yyt. Ata ukisema ukae na mmoja huyohuyo atakuchuna utafirisika. N bora ukae singo kabisa. Adi pale utakapoamua kuoa.
3. Urafk wa ke & me ni wa kuepuka. mana pesa zako haztakuwa salama.
 
Kabisa kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…