Wanaume!tusifieni jamani tusifieni

Na sijawahi kusifiwa na hii avatar yangu! Ngoja ntaanza drama hapa soon! Being faceless is also nice bwana, kwani wangapi hawana avatar humu?
 

why shud yu fake it?na kwanini usiwe comfortable akikisifia?trust her she mean it!
 
we nidanganye danganye danganye tuu............,
ukiniambia ukweli nitaumia........

hahahaaaaaa.................
mbona kukosoa huwa hawadanganyi?kiukweli huwa ni vizuri kuappreciate na kukosoa pia inapobidi
 
au ndo uanaume wa kiafrika huo?unakumbuka ule uzi ya dark city?
 
Hivi kuna wengine hawasifu eeh? Poleni.

Sisi tunasifiana hata baada ya shughuli mwaya...na wala sioni kama ni sifa fake...nina amini ni genuine kwani siku tukichemsha tunaambizana pia. Lol.

umeona enh?hiyo ndo nilikuwa namaanisha yani wen it is thumbs up give it!and wen it s thumbs down also give it!
 
Mie nimezoea kusifu kimoyomoyo kwani najua ukimsifu mgema Tembo atalitia maji........................LOL
na kukosoa umkosoe mama ngina kimoyomoyo hivo hivo!
 
 
Last edited by a moderator:
LOL! hata wewe?sawa mwaya!

I was only teaching him how to better appreciate someone's effort, sikuwa nakunanga mwaya.

They are so selfish these men, wanakuja na malist ya jinsi tunavyopaswa kuwa na kubehave lkn wewe ukiwaambia kakitu kadogo kama kurecognize kwa sauti (si kimoyo moyo Mtambuzi) wanakuza na masababu ya kwanini si vizuri kufanya hivyo. Ptuuh no wonder no ya lesbians inaongezeka!
 
Last edited by a moderator:

nilitaka kushangaa,!
wao ni sawa kuja hapa na demands kibao,lakini si tukiomba tuambiwe tu ahsante,hongerea weh!pacha wangu snowball anasema eti kisa ni wajibu wetu so tuwe wapole tu tufanye tu!sasa weka chumvi nyingi kwanye nyama uone?au vaa nguo isikukae vizuriau siku fanya under performance!maan utakuta mtu anatuma post humu oh mke wangu hafanyi hiki,mara gf wangu sio mtundu,mara mke wangu hafui nguo zangu anamwachia msichana,mara mke wangu hawapendi ndugu zangu,mbona hao wanaofanyiwa kinyume chake hawasemi?au wengi hawawaambii hivo wake zao nyumbani?
 
Mie nimezoea kusifu kimoyomoyo kwani najua ukimsifu mgema Tembo atalitia maji........................LOL
ha ha ha ha..................., kweli baba yangu. Ukimsifia kapaka wanja vizuri kesho anaenda kuweka kope za bandia...lol
 
Mh, mi nasifiwa kila kitu except kupendeza, hata nikitoka saloon atanisifia mwanangu. Nimeshauliza kwa nini hanisifii anasema ni kawaida yangu kupendeza. atanisifia kila siku? Is it right?
 
What if ulichokifanya /kibadirisha hakijanifurahisha????????????????

Mtakua tayari kupokea hayo???????
 
snowhite kitanda chako kizuri halafu kimependeza
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…