Wanaume!tusifieni jamani tusifieni

Wanaume!tusifieni jamani tusifieni

Exactly my point
Sifa zije natural ..
sifa za kuombwa na kukumbushwa uzitoe
'zina walakin'
na sisi wengine twapenda tutuoe sifa 'genuine'..

Is it your point that sio wajibu wetu kufanya hizo kazi/shughuli alizoziorodhesha snowhite au ni genuine compliment tu?
 
Last edited by a moderator:
Hawa watu wanapenda kusifiwa dah! Huko katika Facebook wanapenda kuweka picha za pozi ili kina sisi tusema "umependeza"

Na kwanini mnareduce maana ya compliment na kuacknoledge kwenye kuvaa tu?

Kuna kusifia chakula, mafanikio kazini/ktk biashara, kulea watoto vizuri n so on so on.
 
Na kwanini mnareduce maana ya compliment na kuacknoledge kwenye kuvaa tu?

Kuna kusifia chakula, mafanikio kazini/ktk biashara, kulea watoto vizuri n so on so on.

wambie mwaya mi nshachoka kuwaelewesha!
 
Sawa ni wajibu wetu kuwapikia,sawa ni wajibu wetu kuwafulia,sawa ni wajibu wetu kunyoshea nguo,sawa ni wajibu wetu kulea watoto,sawa ni wajibu wetu kuweka vyumba na nyumba nzima safi,sawa ni wajibu wetu kujiremba.lakini jamani kwanini wengi wenu ni ngumu sana kuonyesha mmefurahi,mwambie mkeo umependeza,wife leo msosi wa leo baaab kubwa,honey leo umekatika vizuri ile mbaya,au mke wangu mashuka uliyonunua ni mazuri yameshine vizuri sana kitandani,kama mkeo /mpenzi amebadili style ya nywele and it appeals t yu si umwambie?kama amebadilisha setting ya bedroom kwanini usimwambie kilivokuvutia kwa hu mpangilio mpya!PLEASE JAMANI TUPENI TU HIZO CREDITS ZETU !



woooow!snowhite,thread yako nzuuuuuuuuuuuuuuri sana!
 
sasa na we ukinisifia la uongo ndo inakusaidia nini?nisifie lililo la kweli as well as kunikosoa kwenye la ukweli pia!

Hapo kwenye kukosoana huwa kuna utata huchelewi kuambiwa siku nizi hunipendi. Kwenye haya mambo bora kuwa mtazamaji zaidi kuliko kuwa msemaji.
 
Back
Top Bottom