Wanaume tutafute hela, wanawake wameongeza mahitaji yao

Wanaume tutafute hela, wanawake wameongeza mahitaji yao

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Wanawake sasaivi wanataka P Bundle, yani Mwanamke akiingia Period apewe mazaga kama sehemu ya kumpooza siku zake.

20240130_164920.jpg


20240130_171042.jpg
 
Wanawake sasaivi wanataka P Bundle, yani Mwanamke akiingia Period apewe mazaga kama sehemu ya kumpooza siku zake.

View attachment 2888879

View attachment 2888890
wana mahitaji makubwa zaidi ya kuolewa, kuwa na ndoa au mtoto kuliko kitu kingine chochote....

mabadiliko ya tabianchi yanawachosha kuwafanya kuchujuka kwa kasi zaidi hasa baada ya p2 kuwachakaza sana...
 
Kama anakupa kitumbua atleast mara tatu kwa mwezi mnunulie huo mkate tena ule unaokaa silesi nyingi tofauti na hapo minya
 
Izo sio bei sana hata 40k unapata package ni bidhaa nzuri hata kuwapa watoto...Hizo pringles nakula sana ni chips fulani tamu sana nanunua 5k
 
Wait a min, kwan hii ni kitu mpya? Way back even b4 sijamuoa mama chanja mbona nlikua nampea hii pack kawaida sana.
Besides, it foesn cost a lot. Ni kama 10 to 20k. I think hio sio kitu once per month kwa mtu anaekuhali kwa vingi.
 
Hadi nimetokwa na machozi:alisikika memba fulani wa jf
 
Back
Top Bottom