kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 423
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu umetishamoMkuu kuvunjika shingo kawaida kwa mwanaume, labda uwe huna umeme lakini kama unao shoti lazima ikupige na utageuka tu kuangalia kilichopita.
Huwa tunakaa stategically...kila anaeingia na kutoka unamuona bila kugeuka....wazee wa kazi watanielewa! Sio unakaa hovyo hovyo tu ndio maana kila mara unageukageuka.Hii Hutokea Pale Mwanamke Anapopita Aidha Uwe Kijiweni Ama Umekaa Mahali Lazima Tuu Utageuza Shingo Kuangalia Maumbile Yake Sehemu ya Nyuma?
Haswaa,huyu mleta mada inaonekana huwa anakaa kiboyaboya!Huwa tunakaa stategically...kila anaeingia na kutoka unamuona bila kugeuka....wazee wa kazi watanielewa! Sio unakaa hovyo hovyo tu ndio maana kila mara unageukageuka.
Hata akiwa kimodoo lazima uheuze shingo, hatariiiHii lkn inatokea tu kama mwanamke mkali WA sura ama shape (chura) amekatiza.
Duuh strategiki ya mkao ndio ipi mkuuHuwa tunakaa stategically...kila anaeingia na kutoka unamuona bila kugeuka....wazee wa kazi watanielewa! Sio unakaa hovyo hovyo tu ndio maana kila mara unageukageuka.