Wanaume Tutavunjika Shingo

Wanaume Tutavunjika Shingo

kisokolokwinyo20

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
472
Reaction score
423
Hii hutokea pale mwanamke anapopita aidha uwe kijiweni ama umekaa mahali lazima tuu utageuza shingo kuangalia maumbile yake sehemu ya nyuma?
 
Hii lkn inatokea tu kama mwanamke mkali WA sura ama shape (chura) amekatiza.
 
WANAWAKE WOOOTEEE WAZURI BANA WEEEEE ASIKUAMBIE MTU, HAKUNA MWANAMKE MBAYA, WATAMU, WAREMBO, YAANI HATUWEZI KUISHI BILA YA WAO, INGAWAJE WANAZINGUA SN ILA KWAKWELI HATUFURUKUTI
 
Hii Hutokea Pale Mwanamke Anapopita Aidha Uwe Kijiweni Ama Umekaa Mahali Lazima Tuu Utageuza Shingo Kuangalia Maumbile Yake Sehemu ya Nyuma?
Huwa tunakaa stategically...kila anaeingia na kutoka unamuona bila kugeuka....wazee wa kazi watanielewa! Sio unakaa hovyo hovyo tu ndio maana kila mara unageukageuka.
 
Huwa tunakaa stategically...kila anaeingia na kutoka unamuona bila kugeuka....wazee wa kazi watanielewa! Sio unakaa hovyo hovyo tu ndio maana kila mara unageukageuka.
Haswaa,huyu mleta mada inaonekana huwa anakaa kiboyaboya!
 
Huwa tunakaa stategically...kila anaeingia na kutoka unamuona bila kugeuka....wazee wa kazi watanielewa! Sio unakaa hovyo hovyo tu ndio maana kila mara unageukageuka.
Duuh strategiki ya mkao ndio ipi mkuu
 
Back
Top Bottom