Wanaume tuwafanye hivi wanawake wasiokua na mapenzi ya dhati

Rama Amiry

Member
Joined
Aug 29, 2016
Posts
39
Reaction score
63
Habarii wadaw...
Inawahusu wanaume..
Kama msichana atakutupa kwa sababu huna pesa, na baadaye unapopata pesa akarudi tena kuomba msamaha,,, ndugu yangu msamehe, mpe ahadi ya ndoa, mwambie utamuoa, iambie familia yake unataka kufanya ukarabati wa nyumba yao, Ondoa paa lote la nyumba yao halafu TOWEKA.
 

Utarogwa pumbu liote puani we we endekeza huo ujinga

By the way I won first to reply
 
Utarogwa pumbu liote puani we we endekeza huo ujinga

By the way I won first to reply
Hiyo ni kumfundisha yeye na wingine wenye tabia kama yake...unajua inauma sanaa.... hii ni kuwapa somo kua mwanaume sio mlezi bali ni baba wa familia.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unawaambia na ukarabati wa madirisha na milango afu unasepa zako [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uchawi ndo maana yake hyo kama ulikuwa hujui [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wejamaa walikunyoosha nini, maana hiyo ni komesha kenge.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kuna watu akili zenu asee
 
Utakapojikuta msata na paa kichwani na halitoki ndio utashika adabu, unafikiri kila mtu mvuta bangi kama wewe!!!
 
Sa familia imekukosea nini tafuta hela mkuu
 
Ooohooo sasa si unaweza ukarogwa kwa staili hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…