Wanaume tuwafanye hivi wanawake wasiokua na mapenzi ya dhati

Wanaume tuwafanye hivi wanawake wasiokua na mapenzi ya dhati

Ukijaribu hivyo, Mungu nae atakujibu kwa radi popote ulipo...

Usilipize baya kwa baya... lipiza baya kwa jema...


Cc: mahondaw
 
Habarii wadaw...
Inawahusu wanaume..
Kama msichana atakutupa kwa sababu huna pesa, na baadaye unapopata pesa akarudi tena kuomba msamaha,,, ndugu yangu msamehe, mpe ahadi ya ndoa, mwambie utamuoa, iambie familia yake unataka kufanya ukarabati wa nyumba yao, Ondoa paa lote la nyumba yao halafu TOWEKA.
Safi sana father. Umetisha[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom