Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Muda huo akikuambia maneno hayo muangalie yeye mwenyewe ana nyumba?....anapoishi kuna assets ya samani za nyumba zenye thamani walau millioni 2 kama hana basi pigia mstari thread yanguUnajisikiaje mwanamke uliemuoa na mpo kwenye nyumba za kupanga siku moja anakwambia kuwa wewe nae ni mwanaume mwanaume gani unazalia kwenye nyumba za wanaume wenzio
Na wakati huo yeye ni mama wa nyumbani tena wale magorikipa wanaonenepa tu
Umeelewa lakini alichokiandika mdau?Muda huo akikuambia maneno hayo muangalie yeye mwenyewe ana nyumba?....anapoishi kuna assets ya samani za nyumba zenye thamani walau millioni 2 kama hana basi pigia mstari thread yangu
😂😂😂Unajisikiaje mwanamke uliemuoa na mpo kwenye nyumba za kupanga siku moja anakwambia kuwa wewe nae ni mwanaume mwanaume gani unazalia kwenye nyumba za wanaume wenzio
Na wakati huo yeye ni mama wa nyumbani tena wale magorikipa wanaonenepa tu
Usimuache wa hivo tena mnunulie na zawadi kabisaaa!! then jenga majumba kila Mkoa! mpaka aseme na mengine!Unajisikiaje mwanamke uliemuoa na mpo kwenye nyumba za kupanga siku moja anakwambia kuwa wewe nae ni mwanaume mwanaume gani unazalia kwenye nyumba za wanaume wenzio
Tuwahurumie au tuwasamehe? Kisha tuzipambanie papuchi zao na kuzichakata afu basiNdugu zangu wana jamii forum hasa wanaume ni vema tuwahurumie wanawake...mwanamke hata awe ni masikini wa kutupwa yaani hana kila kitu asili yake ni maringo na dharau...popote pale mwanamke atakapokuwa hujihisi special....tuwahurumie tu ndio asili yao