Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Huwa nacheka sana baadhi ya wanaume hapa wakisema "eti usiwachezee hisia zao", jamani wanaume amkeni usingizini usidanganye unachezea hisia zake ukipata chance ya kupiga mwanamke mwenye umri mkubwa aliyevuka miaka 25 kama bado hajachoka choka we chapa tu ila asikugeuze jumba la kustaafia(ndoa) baada ya ku-enjoy ujana wake (18 ~ 22). Binafsi naamini ni busara zaidi ukaoa mwanamke uliye-enjoy peak yake ya uzuri (18 ~22).

Ukweli ni hivi, Yeye ndiye anayekuchezea wewe kihisia. Maana baada ya watu kujipigia sana huko wewe ndio anakuona unafaa sasa kuishi nae muda ambao ameaza kuchoka alikuwa wapi kipindi bado mbichi (18~22)? Hapa alikuwa na watu aliowapenda zaidi, ila baada ya kumuona ameanza kuzeeka wakaingia mitini ili wewe unayeogopa "kumchezea" umuoe.

Ukweli utabaki kuwa ukweli asilimia zaidi ya 99, wanawake wazuri wanakuwa tayari wapo ktk serious relations au wameolewa pindi wafikapo miaka 25. Nje ya hapo kuna sababu kwa nini huyo mwanamke hajaolewa au hana mtu serious akivuka miaka 25 wengi wao ni hovyo sana either ana-standard za kijinga zisizo halisi.

Asikudanganye mtu, hakuna mwanamke asiyependa kuolewa sio dunia ya kwanza (kama U.S, Europe or Austrilia) wala ya tatu (kama TZ) unless awe amelelewa na single mother (not widow, big diference) au umri wake umevuka miaka zaidi ya 25 na hana mtu serious.
 
Eti hatujaziona kama vile mpo kikundi cha watu nyuma ya hiyo Id.
Unatengeneza taswira ya wingi ili upate back up, kwenye huo utopolo walo, hili unakufa nalo mwenyewe mzee
Nimewakilisha wengi
Umetwanga mada kwenye kinu
 
Daa wewe unawaita dada zako wastaafu? Kwani mtu akitaka kuoa si anachagua ampendaye? Wanaume wengi hamuoi huku mtaani wanashinda wanavuta bangi sasa hao waolewe na nani?
Take it easy! Maisha ni zaidi ya ndoa.
Mtu hujiona loser anapoanza kujilinganisha na wengine kwa lengo la kuendana na matarajio ya jamii.

Kuna wanawake wengi mf. H.Mdee au Fatuma Karume ambao hawajaolewa wala kuwa na watoto lkn wameyafanyia maisha yao mambo ya maana na wanayafurahia....self-awerenes is the key.

However, sexually any woman beyond 30 is retired.
 
Hakuna wanawake wanao jua kung'ang'ania kama hao wanawake wenye 28+ na wale singo maza Sasa Hawa singo maza hata akiwa na miaka 21 atakung'ang'ania had atoke na roho yako.
Mi kuna mmoja nmeshamwambia tuachane lakin ananifatilia sana nafkir nikifa ndo ataniacha aaaaghhh!!
 
njoo PM siwezi weka public kwa kila mtu
Weka mkuu ili atleast nishawishike kuja PM.
Halafu njoo na Id yako ya siku zote.

Ukifanya hivyo nakugawia dada yangu hata kesho tule ubwabwa uwe shemeji yangu.
 
Back
Top Bottom