Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

[emoji23][emoji23][emoji23]my bro Elly not true most of the time nikiwa huku nakuwa na mood ya kupovusha watu siku ingine hamu Sina kabisa.
[emoji23][emoji23]Cariha wachana nao hawa, umri nini bwana. Kila mtu aishi atakavyo, si ndio? Mimi nimesema 28+ ndio ugonjwa wangu, bahati mbaya hujafika huko, ningeshawahi piemuni mwako nitete na wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hadi waeleweke ili iweje, kwani wamekwambia wanatafuta wachumba hapa ?

Hapa ni mwendo wa spana elimu spana elimu spana elimu hadi kieleweke
Wajaribu kwanza kueleweka maana hali zao tu zimewashinda kupambana nazo.

Kwanza watawapatia wapi hao wachumba wa 27..kwani we ulisikia wapi wadada wanataka watu wajinga namna hiyo?
 
Wajaribu kwanza kueleweka maana hali zao tu zimewashinda kupambana nazo.

Kwanza watawapatia wapi hao wachumba wa 27..ulisikia wapi wadada wanataka watu wajinga namna hiyo?
Maskini loh!
Kumbe hadi wadada wa JF wanajua kuchamba
 
Sio kuchamba tu , wanajua hata kudanga , kama uamini andaa kibunda chako halafu mcheki Cariha
Kwa hela gani mlizonazo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye hela hawapo kwenye huu Uzi[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…