ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
[emoji23][emoji23]Cariha wachana nao hawa, umri nini bwana. Kila mtu aishi atakavyo, si ndio? Mimi nimesema 28+ ndio ugonjwa wangu, bahati mbaya hujafika huko, ningeshawahi piemuni mwako nitete na wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]my bro Elly not true most of the time nikiwa huku nakuwa na mood ya kupovusha watu siku ingine hamu Sina kabisa.