Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

I see alot of shaming tactics from older women here. Listen men, women use shaming tactics to pin down men in arguments kama wanavyofanya katika mada hii, kama umeanza ku-date na manzi uliyemkuta ana miaka zaidi ya 25 jua tu hapo unalamba galasa (she sees you as retirement plan after her prime years, 18 ~ 22). From my vast experience, almost all good girls are taken by 25.​
Fact.... And damaged ones return to the market after failed marriages kuanzia 35 years
 
Uwe nayo uringe! [emoji1787]
Pambana na chadema huko
Na bado hujapambana na stress za October 28 JPM anavyopewa mitano Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba nikupende mdogo wangu, umenikosha...
 
Nnae mmoja hapa yaan huwa nakereka kuna mda nataman had kumfumua mingumi
We mfumue tu hiyo mingumi, atakusemea kwa mamake; shauri yako!! Na kama wewe ndo mamake, basi lazima akusemee kwa babake!

Unaanzaje kwa mfano kumfumua "mtoto"?!
 
Ndiyo ni mtoto.
Mimi mwenyewe na 30 yangu[emoji14]lakini bado ni mtoto[emoji1787]
Mi najiuliza jambo moja tu: Je, pale mnapokuwa na watoto wenu; mixture ya last born mom and first born kid inakuaje?! Au ndo pale mtoto analia na mama analia!
 
Adjustments.JPG
 
Sawa unauwezo wa kuandika chochote.
Ila muombe sana Mungu katika maisha yako usiwahi kukutana na mimi kwenye hiyo hali "eti unampiga mwanaume" nikishuhudia.
Njoo kutana nami nikutandike[emoji14][emoji1787]
Kama nyie msiojielewa ni wa kuwatandika tu huku ukishuhudia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu don't take it serious,sina nguvu hata za kubishana kwa kuongea,sembuse za kupigana!?!
 
We mfumue tu hiyo mingumi, atakusemea kwa mamake; shauri yako!! Na kama wewe ndo mamake, basi lazima akusemee kwa babake!

Unaanzaje kwa mfano kumfumua "mtoto"?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi mama akirudi akikuta tu nalia basi nyumba nzima watajuta[emoji14]
 
Mi najiuliza jambo moja tu: Je, pale mnapokuwa na watoto wenu; mixture ya last born mom and first born kid inakuaje?! Au ndo pale mtoto analia na mama analia!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanzo nilipoanza kulea watoto na Mimi nilikuwa nalia.
Kuna kipindi mtoto(2yrs) alikuwa anaumwa umwa sana na Mimi ndiye niliyekuwa responsible kwa kila kitu maana muda huo sister alikuwanae mwingine mchanga.

Nilienda hsp ,manesi Kuna muda wanafoka, wananifokea unakuta nimelia.Na bahati mbaya kila nikienda naye hsp nalazwa(alikuwa na pumu yule mtoto)
Basi kulia lia kote kuliishia hsp,nikajifunza ubabe,sionewi kizembe,nesi akitaka kunionea na Mimi nakuwa mkali kweli..wamezoea vibaya sana wale.

Hakuna hsp sijakanyaga na yule mtoto hapa mjini, hadi wakawa wanajua ni wangu.
Si huyo tu!,na wengine wote clinic napeleka mwenyewe,wakiumwa naenda nao.
Hakuna karaha nisiyoijua
Hadi Sasa ikitokea tu shida ya hsp sisy ananipigia simu,akitaka kusafiri ananiachia watoto,ni mtu wa mizunguko mimi ndo nabaki yaani ananiamini kuliko kawaida.

Hao watoto wangu nikiwa nao wajiandae tu!kucheza nao najua,kubembeleza najua,kuwanyoosha pia najua.
 
Wadada wanajipa moyo ndoa sio lazima...hehehe natafuta mchumba wa kuoa asiwe 30+..
 
Kwanini nioe ilihali nipo satisfied na maisha ninayoishi?

Nipo huru kufanya chochote nachopenda, na yeyote nitakaye, kwenda popote napopenda bila kuulizwa na yeyote.

Uhuru wangu nauthamini Sana, ndo maana sitaki pingu uchwara za kinachoitwa ndoa
Mkuu CHARMILTON naona kuna kitu huenda unakimiss hapa,

au labda uko kwenye umri ambao huishi uhalisia wa Maisha,unaishi kulingana na namna wewe unavyoyaimagine Maisha,

kuna utofauti mkuwa sana kati ya Maisha tunayojiaminisha tunaishi na uhalisia wa Maisha hali hapa ulimwenguni,

mkuu unapaswa kujua kwenye ukuzi wa mtu kuna stage nyingi sana anapitia,na ni stage hizo hizo zinazomfanya mtu eiza aje ajutie hapo baadae au ashukuru kwa stage aliyopitia na maamuzi aliyoyafanya akiwa stage hiyo,

kuna stage ambayo vijana tulio wengi huwa tunaishi Maisha ya kufikrika,yaani tuko kwa ajili ya kusatisfy our own desire na tunaishi kwenye ulimwengu ambao tumeuumba sisi vichwani mwetu,stage hii ikitumika vibaya au kwa muda mrefu sana huweza kutokeza majuto makubwa sana huko mbeleni tuendako,ila tukistuka kwenye stage hii mapema na kurekebisha mambo na kuanza kuishi kwenye ulimwengu halisi na sio ule wa kufikrika tunaweza kusave majuto mengi sana baadae huko tuendako, (laiti vijana wote tungekuwa tunastuka mapema sana kwenye hii stage na kurekebisha mambo,dunia ingekuwa mahalia salama sana pa kuishi,too bad tulio wengi hii stage huwa inatuvuruga sana,kuja kustuka its too late hata marekebisoa hayawezekani kabisa,kama yanawezekana ni kidogo sana and its a waste)

Lakini pia ndoa ni Zaidi ya yale uliyoyasema huko juu mkuu,asikwambie mtu mkuu ulimwenguni hapa hakuna kinachoweza kulinganishwa na familia nzuri yenye furaha,narudia tena hakuna,wale walio na ndoa zao na familia zao mubashara wanaweza kuwa mashahidi wa hili

aina ya Maisha uliyochagua kuishi kwa kujiaminisha kwamba inakupa uhuru na ndio unaoutaka haiwezi kukupa hiyo satisfication ambayo wenye ndoa au familia nzuri wanayo

Hope some days utaiona ndoa katika angle tofauti kabisa na angel unayoiona kwa sasa Mkuu, All the best.
 
Back
Top Bottom