Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

so mwanamke akiwa na pesa hawezi kuny
anyasika ndani ya ndoa? manyanyaso gani hayo unayasema?
 
mtoa maada kasema kama huna lengo la kuwa na serious relationship/ndoa basi usidate na mwanamke wa 27+.sasa nashangaa hawa mademu wanamwaga povu naona wana stress au kujishtukia labda
 
kuna dada humu alikuja kulalamika alikuwa ana 28 kuna mtu akampotezea muda miaka 3.in reality wanawake ndo walalamikaji wakubwa katika mahusiano mara waseme wanaume wana tamaa mara wanaume wa kiafrika hawajui kupenda n.k saizi wametengeneza hadi kipindi chao Cha women matters
 
Si kweli mada nyingi humu za mahusiano ni wanaume plus stress za life ni common Sana, seems mahusiano wanaume ni victim wakubwa
 
Sasa kwa dunia huu kutaka mwenzi wa kwako tu impossible na hyo wanaume kuwa polygamous huwa ni kujihalalishia tu in short we women's like different taste of people since watu hutofautiana, mie mwenyewe siwezi mind mtu wangu kisa cheating coz na mie napenda vya tofauti, that's why napenda mahusiano ya kupeana nafasi na sio yakutaka kumilikiana
 
huwezi kukasirika mtu akicheat??? wewe mwanamke wa kipekee sana
 

A woman putting marriage on the side mpaka afanikishe ndoto zake ndio aolewe na tuna assume ndoto zenyewe atazifanikisha on her 30s bila ya kufikiria worst case scenario ambapo those dreams takes forever to come into fruition or are never accomplished it's a very very risky move with very high chances for her to be on the losing side.

Kumbuka, linapokuja suala la ndoa, men are the gatekeepers to marriage. Ni vizuri wanawake wenye above 30s waliofanikisha ndoto zao na wanapata tabu kuolewa wakajaribu kujua wanaume wanaangalia nini wanapochagua wenza ili baadae wasiishie kulaumu kwamba men are intimidated by women success or strong women, hey inawezekana tatizo halipo kwa wanaume ila kwako wewe and that's why they're not picking you.

Sijui kwa nini wanawake wengi wanaamini kwamba wakiwa na mali au high paying jobs itakuwa rahisi kwao kupata their dream husbands who will never do them any wrong only to be disappointed later on in life after achieving their career or financial success but failing to keep a man or worse being forced to date down. Kwa kifupi ladies a man who got his life going on doesn't care about your money, ila kwa marioo au mwanaume anayetafuta mwanamke Wa kusaidiana naye maisha, you having money will be on top of his list if not a deal breaker.

Dhumuni la kuingia kwenye ndoa ni kuzaliana na kuijaza dunia, tafiti tayari zipo zinaonyesha wanawake wakifika 30s chances za kupata mimba on first trial zinapungua na umri unavyozidi kwenda juu ndio chances za mimba zinavyozidi kupungua na chances za kuzaa watoto wenye disabilities zinaongezeka compared to girls on their 20s who have high pregnancy chances on first trial, knowing all thes e biological risks, kwa nini nihangaike na wanawake waliozaliwa 80s huko badala ya wadogo zao wenye natural beauty anizalie watoto wangu 7, tusafiri dunia and enjoy this gift called life.

Mind you am all in when it comes to people(both men and women) pursuing their dreams and becoming the best versions of themselves.
 
Si kweli mada nyingi humu za mahusiano ni wanaume plus stress za life ni common Sana, seems mahusiano wanaume ni victim wakubwa
Men lie, Women lie. Wote ni victims, ila kwenye jamii kiujumla wanawake ndo victims wakubwa.
That's why vipo vyama kibao vya kusaidia wanawake victims wa ndoa na mahusiano.
Na ni kawaida sana, kila relationship inayoenda kombo kila mtu humuona mwenzie kama ndo tatizo la break up. Sababu binadamu sie ni ngumu sana kuona mapungufu yetu wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…