Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

You want me to be submissive, I am submissive. Unadhani napinga ndoa ama uwepo wa mume/baba Kama kiongizi kwenye familia? No way.

Wewe ndo hujanielewa.

Yes Ni bora zaidi kuwa Submissive
Mbali na Misingi ya Dini hata Nature yenyewe inawataka Muwe Hivyo

So far Hongera Sana kwa kua hivyo
 
I did not let anything come into the way of my dreams.
And that is why I am here to tell ladies to focus on their careers.
Ndoa zipo. And the more mature upstairs you are, the better.
 
Kiongozi tusibishane nenda maofisi kwa watu fanya utafiti alafu uje na majibu.
Nakupa mfano mdogo tu nenda ofisi za serikali utawaona wadada kule uliza kama wameolewa na umri wao. Kiufupi usipinge bila kuwa na utafiti.

Wengi wakishakuwa na pesa wanaona, mwanaume atawaambia nini, afu na wanaume pia tunawazaga kuwa mwanamke ni kumgharamia so inabidi kuwa na pesa. Hapo ndipo sisi tunapita kulia na wao wanapita kushoto.
 
Nasema ninachokiishi. I am a living testimony.

I am well educated and am married too with two kids.

Nisichokitaka Ni Hawa mabinti waweke ndoto zao pembeni kisa wanakimbilia ndoa na hivyo kuishia kuwa tegemezi na hatimae kunyanyasika sababu hawana A Wala B.
[emoji122]
 
I did not let anything come into the way of my dreams.
And that is why I am here to tell ladies to focus on their careers.
Ndoa zipo. And the more mature upstairs you are, the better.

Hapo ni kama Unawap kiburi Sasa
Ndoa Zipo Lakini Sio kirahisi Hivyo

The issues is to balance between Dream and Marriage, Hivyo vyote Ni Vitu Muhimu So She has to play Calculated Risk (kama Wewe labda) Maana She might lose One thing na hapo ndip Desperation Comes from Na Sio Swala Lakusema tuu Ndoa Zipo, And what if itamchukua muda kufikia ndoto zake ?
 
Am sure girls wamenielewa and the fact that nawapa picha halisi ya maisha yangu itawaongoza pia.

Wewe huwezi elewa because you are bent on marriage first unajisahaulisha kwamba some men will not even let you work kisa he will provide everything. Hawazi mbele ya safari mfano bahati mbaya akifariki mke ataangaliaje familia.
 
Nisichokitaka Ni Hawa mabinti waweke ndoto zao pembeni kisa wanakimbilia ndoa na hivyo kuishia kuwa tegemezi na hatimae kunyanyasika sababu hawana A Wala B.

First and foremost nakubaliana na mengi mtoa mada aliyoyasema.

Nikija kwenye mchango wako, naona kabisa wanawake wengi wakifikiri kama hivyo unavyoshauri, they will be on the losing side.

If you don't mind getting deeper, unaweza kutuelezea hizo ndoto zao ni zipi na zinachukua muda gani kufanikisha ndio waingie kwenye ndoa.

Lastly, kwa hiyo unafikiri wewe kama mwanamke ukiwa na your own source of income hautanyanyasika ndani ya ndoa?

Btw, I admire your intellectual contributions on the forum.
 
Nasema ninachokiishi. I am a living testimony.

I am well educated and am married too with two kids.

Nisichokitaka Ni Hawa mabinti waweke ndoto zao pembeni kisa wanakimbilia ndoa na hivyo kuishia kuwa tegemezi na hatimae kunyanyasika sababu hawana A Wala B.
Bhaaaaasi umemaliza Mkuu!! Naunga mkono hoja. 🙌🏾 Kitu kikubwa ni Mawasiliano baina ya wanandoa (communication is the key) ili kusolve issue kadhaa kama vile FINANCIAL ISSUES etc..
Sana sana hapo kwenye masuala ya FINANCE hapo pagumu hapo Baadhi ya Wanandoa hawaaminiani as far as finance is concerned, 😋 Kuna akina DADA wanapata KIPATO lakini PESA yao haionekanagi nyumbani. (Anajua mwenyewe matumizi yake)
Pia kuna vile vile tupo WANAUME ambao PESA zetu hazionekanagi nyumbani (tunajua mwenyewe matumiz yetu).
Misunderstandings nyingi zinaanziaga kwenye masuala ya PESA na WIVU (hasa unapoona huelewi elewi mienendo ya partner wako)
 
First and foremost nakubaliana na mengi mtoa mada aliyoyasema.

Nikija kwenye mchango wako, naona kabisa wanawake wengi wakifikiri kama hivyo unavyoshauri, they will be on the losing side.

If you don't mind getting deeper, unaweza kutuelezea hizo ndoto zao ni zipi na zinachukua muda gani kufanikisha ndio waingie kwenye ndoa.

Lastly, kwa hiyo unafikiri wewe kama mwanamke ukiwa na your own source of income hautanyanyasika ndani ya ndoa?

Btw, I admire your intellectual contributions on the forum.
Thank You.

To begin with, they will not be on the losing side. They have to be humble and submissive and their careers should lean on assisting the husband to take care of the family.

If I get married and I have my property, say land, a house or cars how is that detrimental to the well being of my marriage?

Manyanyaso unaweza kuyapata Sana lakini Ile dhana ya kwamba huwezi ondoka because huna A Wala B haitakuwepo.

A woman having her own money is insurance against unforeseen circumstances that may or may not arise from marriage.

Kuhusu ndoto, each woman or even man has her own dreams. I dreamt of so many material things and to travel wide but I also dreamt of getting married to a tall dark guy with a tummy and have many kids. At least 7. 😆😆🤫🤫
 
Hapo ni kama Unawap kiburi Sasa
Ndoa Zipo Lakini Sio kirahisi Hivyo

The issues is to balance between Dream and Marriage, Hivyo vyote Ni Vitu Muhimu So She has to play Calculated Risk (kama Wewe labda) Maana She might lose One thing na hapo ndip Desperation Comes from Na Sio Swala Lakusema tuu Ndoa Zipo, And what if itamchukua muda kufikia ndoto zake ?
Brother Mungu Kama alimuandikia mtu kuolewa ataolewa tu
Na wakati wa Mungu siku zote ni sahihi
 
Thank You.

To begin with, they will not be on the losing side. They have to be humble and submissive and their careers should lean on assisting the husband to take care of the family.

If I get married and I have my property, say land, a house or cars how is that detrimental to the well being of my marriage?

Manyanyaso unaweza kuyapata Sana lakini Ile dhana ya kwamba huwezi ondoka because huna A Wala B haitakuwepo.

A woman having her own money is insurance against unforeseen circumstances that may or may not arise from marriage.

Kuhusu ndoto, each woman or even man has her own dreams. I dreamt of so many material things and to travel wide but I also dreamt of getting married to a tall dark guy with a tummy and have many kids. At least 7. [emoji38][emoji38][emoji2958][emoji2958]
We dada una akili sana aisee[emoji122]
 
Am sure girls wamenielewa and the fact that nawapa picha halisi ya maisha yangu itawaongoza pia.

Wewe huwezi elewa because you are bent on marriage first unajisahaulisha kwamba some men will not even let you work kisa he will provide everything. Hawazi mbele ya safari mfano bahati mbaya akifariki mke ataangaliaje familia.
Tumekuelewa mno[emoji110]
 
A woman having her own money is insurance against unforeseen circumstances that may or may not arise from marriage. Kuhusu ndoto, each woman or even man has her own dreams. I dreamt of so many material things and to travel wide but I also dreamt of getting married to a tall dark guy with a tummy and have many kids. At least 7. 😆😆🤫🤫
A tummy!! 😂😂😂😂 No way!!
 
Bhaaaaasi umemaliza Mkuu!! Naunga mkono hoja. 🙌🏾 Kitu kikubwa ni Mawasiliano baina ya wanandoa (communication is the key) ili kusolve issue kadhaa kama vile FINANCIAL ISSUES etc..
Sana sana hapo kwenye masuala ya FINANCE hapo pagumu hapo Baadhi ya Wanandoa hawaaminiani as far as finance is concerned, 😋 Kuna akina DADA wanapata KIPATO lakini PESA yao haionekanagi nyumbani. (Anajua mwenyewe matumizi yake)
Pia kuna vile vile tupo WANAUME ambao PESA zetu hazionekanagi nyumbani (tunajua mwenyewe matumiz yetu).
Misunderstandings nyingi zinaanziaga kwenye masuala ya PESA na WIVU (hasa unapoona huelewi elewi mienendo ya partner wako)
It's wonderful that you agree with me.
 
Back
Top Bottom