F100 Maziwa Mazito
JF-Expert Member
- Jul 31, 2020
- 209
- 374
Mkuu nakuona hadi hukuUmeongea point na ukweli ni kwamba kwa Scenario kama hiyo haikubaliki huo ni unyanyasaji tu
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nakuona hadi hukuUmeongea point na ukweli ni kwamba kwa Scenario kama hiyo haikubaliki huo ni unyanyasaji tu
Ila huyu mtoa mada hakuongelea kwa ubaya kumetokea kutokuelewana tu.Wapo stigmatized mkuu yan utadhan umri kuongezeka ni ajab[emoji28]
Yes popote tu mie nipo..
so mwanamke asipokuomba hela ndo ana mapenzi ya dhatiSijasema sio issue mkuu ila sio kitu cha msingi kwa wale wanao hitaji mapenzi ya dhati
hiyo ipo hata kwa wanawake pia wazoefu wa mapenzi wanasema kuwa mwanaume akimpenda mwanamke basi mwanamke anamuona huyo mwanaume ni falaMkuu unakuta mwanaume kaoa binti mbichi kabisa,hana mambo mengi kabisaa!ila akishaanza kumzalisha tu ataanza kumuona hana jipya tena,hamjali wala kumtunza na hapo anataka huyo mwanamke asifanye kazi ya kujiingizia kipato hata cha kujitunza kidogo eti kisa atakuwa jeuri.Mwanamke ule uzuri wa muonekano wote unaondoka kwa manyanyaso ya kihisia,Mwanaume anafanya chochote kibaya anacho jisikia akijua bibie hana pakwenda na vile wanawake wengi huwa wanavumilia kwaajili ya watoto basi anaishia kugumia tu ili mradi siku ziende.Ubaya wanaume wengi wakimpata mwanamke mtulivu na anayewapenda kwa dhati huwa wanamuona km mjinga.
Nimeshudia hata kwa ndugu zangu wa kiume,ni wachache sana wanajua kuthamini walichonacho.Yan mwanaume anaenda kumpendezesha kahaba na kumuacha mkewe aliyemkuta mbichi kabisa achakae kwa mawazo na majuto.
Kwa mimi huwa inaniumiza sana hata kama hayajanikuta ila hii hali inakatisha tamaa.Huwa nanaki najiuliza..."Sasa neema ya kuolewa kwa huyu dada maskini ni ipi?"
hata kwa wanawake pia.wazoefu wa mapenzi wanasema kuwa mwanaume akimpenda mwanamke basi mwanamke humuona mwanaume huyo ni falaNikifikiria hayo hamu ya kuolewa huwa inapotea
Ukishampenda sana mwanaume anakuona mjinga
inaonekana una uzoefu naoWana stress hatari ukiwa nae ni sawa na kukumbatia transfoma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mada haizungumzii utegemezi wa kipato kwa mwanamke.Seems like your mindset is still in the Stone Age Era. Let me break it down for you.
Wanawake siku hizi tumeelimika. Tunaenda na kasi ya maisha. Akili zetu zipo kimaendeleo zaidi. Tuna focus kwenye elimu, biashara na ajira ili kujiingizia kipato maisha yaende.
Bado tunapenda na kuheshimu ndoa, lakini Ni muhimu tuingie kwenye ndoa tukiwa na maisha yetu, na hela zetu. Hata tukiingia na kibanda chetu na kiusafiri Kuna tatizo kwani?
Kulewa na kuzaa kupo tu. Tusake maisha kwanza.
Nasapoti point yako hapo. ila naongezea tu hii kuwa hata Wanawake wengi wakimpata mwaume mtulivu na anayewapenda kwa dhati huwa wanamuona kama mjinga 🙋🏽♂️😉Mkuu unakuta mwanaume kaoa binti mbichi kabisa,hana mambo mengi kabisaa!ila akishaanza kumzalisha tu ataanza kumuona hana jipya tena,hamjali wala kumtunza. Ubaya wanaume wengi wakimpata mwanamke mtulivu na anayewapenda kwa dhati huwa wanamuona km mjinga.
Nimeshudia hata kwa ndugu zangu wa kiume,ni wachache sana wanajua kuthamini walichonacho.Yan mwanaume anaenda kumpendezesha kahaba na kumuacha mkewe aliyemkuta mbichi kabisa achakae kwa mawazo na majuto.
Kwa mimi hata kama hayajanikuta ila hii hali inakatisha tamaa
Hakuna binti anayependa kupoteza muda iwe ana 23 au 30.Mada haizungumzii utegemezi wa kipato kwa mwanamke.
Mtoa mada katuasa wanaume kwamba, "MWANAUME USIMUUMIZE KIMAPENZI BINTI MWENYE UMRI WA 27+ IKIWA KAMA MWANAUME UNAJIONA HAUPO TAYARI KUANZISHA NAYE MAHUSIANO YENYE LENGO LA NDOA (na familia).
Mtoa mada amesisitiza kwamba MABINTI WENGI KATIKA UMRI HUO SIO WA KUWACHEZEA, MAANA BINTI WENGI WA 27+ HAWAPENDI KUPOTEZA MUDA KWENYE RELATIONSHIP ISIYO NA COMMITMENT."
Saint Anne , cariha , Karucee , Mother Confessor
Sio kiburi. Ni nyie mnakuwa na inferiority complex kuwa na mwanamke ambae anajitegemea kabla ya kuingia kwenye ndoa.Ni kweli kabisa hicho kitu hakifai, ila tatizo wanawake wengi wenye uchumi wao wenyewe huwa ni kiburi kweli kweli kwa hiyo hapo itategemea na mtu mwenyewe ameamua nini cha muhimu kwanza kuanza, ndoa then ajenge life au ajenge life then ndoa.
You want me to be submissive, I am submissive. Unadhani napinga ndoa ama uwepo wa mume/baba Kama kiongizi kwenye familia? No way.Ujumbe kwenye Avatar Yako Na Ulichoandika hapa Vinakinzana
Read it again Kama hutaelewa
Nitag ukiuleta.K kuna kitu nakifanyia utafiti kikikamilika nitaleta uzi. Kwa namna Fulani mleta uzi Yuko sahihi na upande mwingine hayuko sahihi.
Nasema ninachokiishi. I am a living testimony.Basi huonavyo wewe ni sawa, fanya mishe zako ila tambua mwanamke bora na aliyekamilika atahitaji kuwa kwenye ndoa. Na huo ndo ukweli
Oh really?Unatakiwa usake pesa ukiwa na mume wako kwenye ndoa ndo utapendeza, mambo za Lusaka maisha ndo uje uolewe utajikuta unaolewa na yeyote yule ambaye ni mwanaume. Ni ushauri tu siyo sharia.
Imebidi nicheke tu.Nakufahamu vzr sana wewe...ivi ubishi ujaacha tuu???
Pamoja Sana.Comment ya BUSARA Sana hii