Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Oh really?

Hapana aisee. Some men are very controlling. Wanaona ukishika hela utasepa. Bora anikute na maisha yangu yeye aji adjust anavyojua.
At least hii ni modal nzuri kuifuata.

Alimradi heshima iendelee kuwepo kati yenu na uwezo wa mwanamke kifedha usiwe chanzo cha kutoheshimiana.
 
Sipunguzi kitu!! You have nailed it!!πŸ™ŒπŸΎπŸ™Œ
itabidi tukuteue uwe msemaji watu kiujumla (wanaume) πŸ˜€ natania tu lakini.
 
Fair enough na Safi unafaa sana!!. NO STRINGS ATTACHED!! FRIENDS WITH BENEFITS kinda relationship, its OK ni sawa kama hiyo ndo your style. We all have our own preferences.
Wanaume wengi pia tunapenda kuwa na Side Chicks wa kuruka nao tu with no expectations, wala commitment!! As far as sex is concerned! Coz men love sex. MONEY, POWER & SEX ndo vitu vyetu vitatu wanaume tuvifukuzia sana!! 🀠
Ubaya ni kwamba Wadada wengi ukiwa honest na ukawaambia as frank as possible kwamba "Bibie let's start this partnership for sex only, no commitment." Oohooooo humpati anakukimbiaaa, hivyo inabidi umpige uongoooo. Wadada maneno matamu tamu ndo wanapenda umjazeeee uongoooo na Sifa kemkem zisizo na idadi every now and then na Vizawadi Zawadi vya hapa na Pale!!
 
Hao wanaoambiwa ukweli na kukimbia hawajielewi sio kila mahusiano yanasababisha matokeo flani, mengine ni just starehe tu basi
 
Hao wanaoambiwa ukweli na kukimbia hawajielewi sio kila mahusiano yanasababisha matokeo flani, mengine ni just starehe tu basi
πŸ˜πŸ€— Nawapendaga wadada kama wewe! During the infancy of the relationship, we make it crystal clear to each other kwamba this is it, No expectations, no commitment. Just sex.
 
[emoji7][emoji847] Nawapendaga wadada kama wewe! During the infancy of the relationship, we make it crystal clear to each other kwamba this is it, No expectations, no commitment. Just sex.
Na aina hii ya mahusiano hunoga maana no expectations just for fun, coz expectations always hurt
 
Yaani unajitangaza hivi hivi kuwa wewe Ni broke...
 
Na aina hii ya mahusiano hunoga maana no expectations just for fun, coz expectations always hurt
. cariha mwanaume atakayekuumiza wewe kwenye relationship inabidi apimwe akili. Nikija kumjua he'll pay for it
 
Sasa kitu normal kimezoleka na hakiumizi hisia tena
Bana kulalamika tunalalamika wote (wanaume kwa wanawake).
Kwenye relationship wote pia tunapenda ile sense of ownership, to feel this person is mine, not for sharing! Hasa pale unapokuwa katika relationship ambayo unaexpect iwe ni life time.
Na ikitokea ikazingua basi wote huwa tunalalamika na inaumiza Hisia (wanaume kwa wanawake). its normal!!
 
Hahahaaaa yan hapo tu ndo mnaponiachaga hoi!... wanaume hii sekta mnakuwaga na selfishness at it's highest level[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaa yan hapo tu ndo mnaponiachaga hoi!... wanaume hii sekta mnakuwaga na selfishness at it's highest level[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
U-selfishness ni muhimu sana..
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£πŸ€£ it's a man's nature, hiyo ipo kwenye DNA zetu. Hatutakagi kabisa kuibiwa, ila sie tunaiba... Na kama tukiibiwa halafu tukajua basi inakuwa ni vita vita kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…